Hali ni mbaya sana, nazidi kudhoofika

Hali ni mbaya sana, nazidi kudhoofika

Neno zuri sana hili kusikia....
...linamfanya muhanga au mtenda ajisikie vizuri baada ya kuwa ndani ya hukumu kwa kitambo, linamfanya mtendwa ajisikie ukiachilia kitu moyoni...waoooh how such a good state of mind.
I can feel the power of love moving around.
Niliweka kinyongo mwaka umefika ..niliumia sana, ila nimesema tu tumekusamehe, nimetumia uwingi sijui kwa mwenzangu naye aloitwa tapeli..mimi nimemsamehe, ni mdogo wangu huyu...peace n love
 
Niliweka kinyongo mwaka umefika ..niliumia sana,ila nimesema tu tumekusamehe nimetumia uwingi sijui kwa mwenzangu naye aloitwa tapeli..mm nimemsamehe ni mdogo wangu huyu...peac n lov
Aisee....unafahamu hatukuumbiwa kuwa na kinyongo ila inabidi tu kwa sababu ya mawazo na mipaka tunayojiwekea ya kufikiri?.
Hongera sana kwa kuondoa sumu mwilini nina hakika umejiongezea life span kwenye dimension hii.
Great step.
 
Hivi guys mi mbona maisha yangu hayajabadilika, nlivyoishi zamani ndio nipo vilevile, huu ulalamishi huwa siuelewi kabisa
 
Inaonekana unapenda kazi za kuajiliwa!!jichange ujiajiri.
Hatuwezi sote kuwaza kujiajiri, nchi haitosonga, nchi inahitaji makundi yote hata akijiajiri naye pia itafikia hatua atahitaji wa kuajiri. Sasa kama wote tutawaza kujiajiri, nani atamuajiri mwenzie?? Suala ni fikiria best possible solution siyo majibu ya jumla kwa swali la rejareja

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Aisee....unafahamu hatukuumbiwa kuwa na kinyongo ila inabidi tu kwa sababu ya mawazo na mipaka tunayojiwekea ya kufikiri?.
Hongera sana kwa kuondoa sumu mwilini nina hakika umejiongezea life span kwenye dimension hii.
Great step.
Naamini pia🥰
 
Muulize Baba yako kwa nini alikuzaa, sio utuletee upuuzi wako hapa
 
Back
Top Bottom