Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,777
- 8,398
Tafuta mchongo mwingine mle huwezi toboa tundu mkuuPagumu sana
Tafuta mchongo mwingine mle huwezi toboa tundu mkuuPagumu sana
Mufindi kumepwaya balaa siku hizi...wamebaki wanasua sua balaa...Sijui nyie ila mi nimepiga mzigo Mufindi miezi 4.
Njoo cotex mkuu kazi zipo na huku family pia kazi za kumwaga tuHali ya sasa ya kimaisha hairidhishi hata kidogo. Kimbilio la vijana wengi lilikuwa ni viwandani ila kwa sasa hata huko viwandani kazi hakuna.
Viwanda vingi uzalishaji ni mdogo mno kiasi kwamba hata wale vibarua permanent nao hawapati nafasi ya kuingia kazini
Viwanda vingine navyo vimefungwa na haijulikani lini wataanza tena kufanya kazi.
Vile viwanda ambavyo miaka ya nyuma vilikuwa vikikimbiwa na watu kisa ugumu wa kazi navyo siku hizi hata ukienda hupati nafasi maana kumejaa
Mfano mzuri ni kiwanda cha nondo kilichopo Jeti siku hizi nafasi ni adimu mno. Viwanda vingine vibarua wazoefu hawataki kuachia nafasi wanaunga shift usiku na mchana hawataki kutoka.
Viwanda vingine hawakupokei mpaka uhonge au uwe na mtu anayekujua mf kiwanda cha Pepsi ,Jambo ,kiwanda cha kioo,serengeti nk
Viwanda vingi sana vimefungwa mf Kiwanda cha Jumbo,Murzah one.Murzah Two.
Vibarua wanakimbilia Murzah four napo kazi hakuna uzalishaji mdogo mno.
Kiwanda kingine ni kiwanda cha samaki ila napo wanachukua idadi ndogo mno haswa wale wazoefu na wanawake
Kiwanda cha rasta napo siku hizi pagumu mno.
Vijana tunakufa njaa
Cotex ipi mkuu, ya Mbezi beach?Njoo cotex mkuu kazi zipo na huku family pia kazi za kumwaga tu
Kungekuwa kunalipa machinga na bodaboda usingewaona mijini. Kilimo ni pesa na sio nguvu.Mkuu Rudi Kijijini ukalime
Tumeitaka wenyewe, tumeipenda wenyewe.Hali ngumu
Kama watu wamepunguza milo toka 3 Hadi mmoja au wanapiga deshi Hadi kesho sababu mzunguko wa pesa mtaani umekufa sababu ya sera mbovu za kuwafanya watu wawe masikini ili uwatawale Ili upate furaha,wakizalisha bidhaa nyingi kuliko uhitaji zitaexpire madukani hasara kwao.Sasa ndio ushangae maana hao MURZAH wanatengeneza mafuta ya kula, tambi na sabuni.
Ina maana soko limeshuka mpaka wafunge kiwanda au kupunguza Uzalishaji ??
😀😀😀dada tapeli(umesahau neno tapeli ulilonipa)...mie mzima namshukuru MunguDada shikamoo
Dada msaidie huyu bwana kama waweza.[emoji3][emoji3][emoji3]dada tapeli(umesahau neno tapeli ulilonipa)...mie mzima namshukuru Mungu
Tulia kama huelewi kitu ..nakuomba sana sana .niliitwa tapeli mm ujue ohoo..sina ajira mkuu..naganga njaa na mmDada msaidie huyu bwana kama waweza.
Threads zake huwa zinasikitisha sana.
Mkuu sasa ukweli ni upi mara kura waliiba hakuchaguliwa, mara walichagua, mbona kauli zinatofautiana. Alichaguliwa au waliiba kura?Mlikataa wokovu mkachagua mataputapu,unapoweka mataputapu madarakani kuna price to pay!The worst is yet to come folks!
Tumekusamehe..Tusameheane penye mapungufu
Neno zuri sana hili kusikia....Tumekusamehe..