Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

Kilimanjaro ilitakiwa iwe CITY.. Mji mdogo ambao haujawahi pata misukosuko ya aina yoyote , una rasilimali kibao na fursa za utalii zilizopo nje nje. Rasilimali watu iliyopo exposed ya kutosha and yet unaishi katika shadow ya Arusha.

Mji ambao una population density ya kutosha, Hali ya hewa nzuri na ardhi yenye rutba na bado Ni beautiful residential town ambayo inacheza na league za Moro. What a shame
Ukisema unaishi katika shadow ya Arusha ni uongo mkuu! Kumbuka kuna moshi(wilaya) na kilimanjaro (mkoa) sehemu kama rombo, same, mwanga, siha, hai na moshi vijijini hizi zote ni rural areas..... Moshi mjini ina kilometa za mraba 59 tu[emoji23][emoji23] mkuu 59 tu wakati mkoa mzima una kilomita za mraba zaidi ya 17000

Ungepasawa kusema Moshi na sio kilimanjaro
 
Ebwana eeh hawa ndugu zetu wa Kagera na kujisifu kote huko Bado mkoa wao ni maskini kiasi hichi ?
Mkoa wa kagera unapata mvua za kutosha, wapo karibu na nchi kama Rwanda na Burundi plus kuna Ziwa victoria na mto kagera hivyo shughuli za uvuvi , kilimo n.k zinashamiri kwa urahisi!!
Hawa ni wavivu au kuna shida gani ?
Wanapitwa na mikoa yenye ukame kama Singida na Dodoma kweli?
Sasa kwa hali hiyo hao wenyeji wa Kagera wangekuwa mikoa mikame nusu jangwa si ingekuwa aibu zaidi....
instanbul atakuja kupinga vikali sana hizi takwimu
 
Takwimu mbona kama vile zimekaa kimkakati...!! Kilimanjaro hakuna umasikini kwa hiyo hakuna haha ya kufikiriwa katika miradi ya kimaendeleo (developed region). Kwa upande mungine Mkoa wa Lindi (kwa WM), Kanda ya Ziwa (kwa Rais) na Magharibi (kwa waziri wa fedha) kuna umasikini mno na miradi mingi ipelekwe huko.
 
1. Vita ya Kagera
2. Mv Bukoba
3. Virusi vya ukimwi
4. Kuanguka kwa Bei ya kahawa
5. Wakimbizi
6. Uhalifu uliokithiri haswa pori la biharamulo
7. Mnyauko wa migomba ambacho ni chakula kikuu
8. Tetemeko la ardhi
9. Vikwazo vya kielimu na kimiundombinu

And the list is endless

Nitajie mkoa hata mmoja Tanzania ambao umepitia yote haya na bado wakazi wake wakaendelea na maisha yao pasipo utegemezi kwa serikali. Kagera is a home of survivals

1. Vita vya kagera vinaizuiaje kagera kuendelea ili hali vita Vimepiganwa miaka 40 iliyopita, isitoshe athari zilikuwa kwa nchi nzima!!

2. Mv Bukoba??... Mv Bukoba imeizuiaje kagera kuendelea ni Sawa na watu wa Dodoma wakwambie ajali ya treni ya Dodoma inazorotesha mkoa kuendelea au kufika mbali zaidi.

3. Kagera sio mkoa unaongoza kwa maambukizi ya ukimwi, mkoa wa njombe zamani iringa Ndio vinara wa maambukizi na wamekuwa wakishikilia hii title kwa muda mrefu Hata kama ukimwi ulitokea huko, hivyo kisingizio hakina maa hiko

4. Sasa kama hii Ndio sababu na mkoa wa Kilimanjaro usingekuwa wa pili kwa ukwasi isitoshe moja ya mazao tegemezi kilimanjaro ni kahawa tokea enzi za ukoloni.

5. Kigoma wasemaje Sasa kama mnalalamikia wakimbizi, isitoshe wakimbizi ni fursa

6. Haina mashiko, uhalifu unafanyika sana Arusha kushinda hapo Kagera

7. Mnyauko haupo kagera tuu Bali hata Kilimanjaro Ila kagera imebaki kuwa maskini

8. Acha utani mkuu kile kitetemeko cha juzi ndicho kifanye kagera kuwa miongoni mwa mikoa 5 maskini zaidi .. umesahau kuwa kabla ya hilo tetemeko kagera ilikuwa ya pili kwa umaskini.

9. Vikwazo vya kielimu kivipi ili hali wahaya wenyeji wa kagera ni moja ya jamii zilizoelimika zaidi TANZANIA!!

Kimsingi hizi sababu zote hazina mashiko uzijumlishe zote kwa pamoja au moja moja hazishawishi kabisa eti mkoa uko karibu na nchi 3 , mvua za kutosha, wasomi kibao ziwa kubwa , mto mkubwa n.k bado uwe miongoni mwa mikoa maskini zaidi TANZANIA...
 
1. Vita ya Kagera
2. Mv Bukoba
3. Virusi vya ukimwi
4. Kuanguka kwa Bei ya kahawa
5. Wakimbizi
6. Uhalifu uliokithiri haswa pori la biharamulo
7. Mnyauko wa migomba ambacho ni chakula kikuu
8. Tetemeko la ardhi
9. Vikwazo vya kielimu na kimiundombinu
And the list is endless
Nitajie mkoa hata mmoja Tanzania ambao umepitia yote haya na bado wakazi wake wakaendelea na maisha yao pasipo utegemezi kwa serikali. Kagera is a home of survivals

Aisee ongeza na Mto Ngono
 
Wasukuma wanaongoza kwa umasikini. Walichokijua ni kuzaana badala ya kuzalisha. Wabadilike. Mwanza, Simiyu, Geita ni maeneo yanayotia huzuni.
Ila pongezi nyingi ziende kwa Magufuli. Inaonekana kiwango cha umasikini (Adject poverty) kimepungua sana hasa kwa mikoa kama ya Kigoma ambayo kwa takwimu zilizopita umasikini ulikuwa kwenye 45%. Mikoa mingi yenye 35% kwenye riport iliyopita ilikuwa kwenye 40 something. Riport hii inatia matumaini kama ni ya kweli.
Sawa kabisa pongezi nyingi ziende kwa Jiwe kwa kuongeza umaskini maradufu kuliko aliouacha kikwete .
 
Ebwana eeh hawa ndugu zetu wa Kagera na kujisifu kote huko Bado mkoa wao ni maskini kiasi hichi ?

Mkoa wa kagera unapata mvua za kutosha, wapo karibu na nchi kama Rwanda na Burundi plus kuna Ziwa victoria na mto kagera hivyo shughuli za uvuvi , kilimo n.k zinashamiri kwa urahisi!!

Hawa ni wavivu au kuna shida gani ?

Wanapitwa na mikoa yenye ukame kama Singida na Dodoma kweli?

Sasa kwa hali hiyo hao wenyeji wa Kagera wangekuwa mikoa mikame nusu jangwa si ingekuwa aibu zaidi....
We umekurupuka pamoja na kukariri hapa ripoti iliyopita mkoa ulipokuwa wa tatu.

Sasa ni mkoa wa kumi na moja mkuu.na umaskini unapungua Kwa kiasi kikubwa.

Anyway wilaya maskini katika mkoa huo hazina sifa hizo ulizozitaja nazo ni biharamulo na ngara ambazo nazo umaskini umepungua
 
Tuweke zones,kila zone ijitegegemee kimapato na matumizi,itawastimulate watu wa sehemu husika ku explore resources na opportunities zilizopo kwenye zone husika
Hili wazo lipo kwenye Sera za CHADEMA ila weakness zake ni kuzidisha ukanda na ukabila.
Tupambane hivi hivi kavu kavu maana kuna mikoa inaendelea kwa migongo ya mikoa mingine.
Kila achakarike kivyake.
Kumbuka hata zamani pass marks zilikuwa zinafanana ila baadaye ikasadikika kwamba Mikoa Fulani watu wake wana IQ kubwa, so pass mark za mikoa hiyo ikapandishwa na ile mikoa "vilaza" ikashushwa ili nao wapate wasomi.
Suala la regional resources utilization likija tutagawana fito
 
Tuweke zones,kila zone ijitegegemee kimapato na matumizi,itawastimulate watu wa sehemu husika ku explore resources na opportunities zilizopo kwenye zone husika
Acha fujo sugar mummy ww [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana ndoto ya watu wa mikoani kuja Dar slaam.
 
Kwa mujibu wa hizi takwimu Kilimanjaro inaifuatia Dsm licha ya kutokuwa Jiji ni mkoa wa pili kwa ukwasi.

Halafu unakuta nyuzi humu ndani wenyeji wa Kagera ambao ni miongoni mwa mikoa mitano maskini zaidi wakijipambanisha na Kilimanjaro ili hali hata Dodoma hawaifikii...

Hizi ni aibu hizi...
Mikoa mitano?

Hebu tazama takwimu vzr Kwanza.

Asilimia ni 31.

Hata haipo top ten Acha kukurupuka mkuu

Lakini pia Kagera ndo mkoa wa tatu Kwa idadi ya watu nchini vip mbona watu wanapenda kukaa kwenye mkoa wa maskini? Kama unavyoainisha wew.

Kimpangilio sasa mikoa maskini ni

1.Rukwa 45%
2.simiyu 39%
3.lindi37%
4.Geita37%
5.mwanza36%
6.kigoma35%
7.Tabora34%
8nk

Kagera ya 11 huko

Tulia usome takwimu vzr
Screenshot_20190629-222709.jpeg
 
Attachments

  • tapatalk_1561835000889.jpeg
    tapatalk_1561835000889.jpeg
    68.1 KB · Views: 54
1. Vita ya Kagera
2. Mv Bukoba
3. Virusi vya ukimwi
4. Kuanguka kwa Bei ya kahawa
5. Wakimbizi
6. Uhalifu uliokithiri haswa pori la biharamulo
7. Mnyauko wa migomba ambacho ni chakula kikuu
8. Tetemeko la ardhi
9. Vikwazo vya kielimu na kimiundombinu

And the list is endless

Nitajie mkoa hata mmoja Tanzania ambao umepitia yote haya na bado wakazi wake wakaendelea na maisha yao pasipo utegemezi kwa serikali. Kagera is a home of survivals
Na bado ripoti ya sasa Kagera haipo top 10

Mkoa unazidi kujinasua Kwa spidi ya ajabu.

Kutoka WA tatu best mpaka wa kumi na moja?
Tuendelee kuwekeza Kagera
 
Mikoa mitano?
Hebu tazama takwimu vzr Kwanza.
Asilimia ni 31.
Hata haipo top ten Acha kukurupuka mkuu
Lakini pia Kagera ndo mkoa wa tatu Kwa idadi ya watu nchini vip mbona watu wanapenda kukaa kwenye mkoa wa maskini? Kama unavyoainisha wew.
Kimpangilio sasa mikoa maskini ni
1.Rukwa 45%
2.simiyu 39%
3.lindi37%
4.Geita37%
5.mwanza36%
6.kigoma35%
7.Tabora34%
8nk
Kagera ya 11 huko
Tulia usome takwimu vzrView attachment 1142522

Nilijua tu utapinga na data zako za kimagumashi
 
Takwimu mbona kama vile zimekaa kimkakati...!! Kilimanjaro hakuna umasikini kwa hiyo hakuna haha ya kufikiriwa katika miradi ya kimaendeleo (developed region). Kwa upande mungine Mkoa wa Lindi (kwa WM), Kanda ya Ziwa (kwa Rais) na Magharibi (kwa waziri wa fedha) kuna umasikini mno na miradi mingi ipelekwe huko.

Hii ndiyo nje ya box.

Umewaza vyema! Asante na hongera!
 
Ebwana eeh hawa ndugu zetu wa Kagera na kujisifu kote huko Bado mkoa wao ni maskini kiasi hichi ?

Mkoa wa kagera unapata mvua za kutosha, wapo karibu na nchi kama Rwanda na Burundi plus kuna Ziwa victoria na mto kagera hivyo shughuli za uvuvi , kilimo n.k zinashamiri kwa urahisi!!

Hawa ni wavivu au kuna shida gani ?

Wanapitwa na mikoa yenye ukame kama Singida na Dodoma kweli?

Sasa kwa hali hiyo hao wenyeji wa Kagera wangekuwa mikoa mikame nusu jangwa si ingekuwa aibu zaidi....
Cc instanbul
 
instanbul atakuja kupinga vikali sana hizi takwimu
Sipingi mkuu .

Huoni mkoa unapiga hatua kubwa kutoka tatu best Hadi sasa haupo ten best?

Kuna vitu unabidi ufahamu

Kagera ni mkoa wa tatu Kwa idadi ya watu nchini baada ya dar na mwanza.zaidi ya milion3

Kagera ni mkoa wa tatu wenye population density kubwa tz baada ya dar na mwanza

Hakuna mkoa uliopitia majanga mengi kama Kagera tz tangia Uhuru ndo maana mkoa uliporomoka vibaya ovyo kiuchumi na kimaendeleo . recovery ya vita,MV Bukoba,hiv,minyauko mpaka matetemeko.

NB mnabidi mjionee aibu nyie watu wa moshi hamjawahi patwa janga lolote lile la kuwasumbua lakini bado mkoa wenu haujapiga maendeleo kivile na kuna maeneo mengi Tu kama ya misenyi ( wilaya iliyopigiwa vita ya Kagera) inawazidi mbali Kwa maendeleo ya vijiji.

Na kamji kenu hakajawahi pata hata kutetemeshwa kidogo lakini kanazidiwa na iringa shame on you
Screenshot_20190629-222709.jpeg
Screenshot_20190629-222933.jpeg
 
Takwimu mbona kama vile zimekaa kimkakati...!! Kilimanjaro hakuna umasikini kwa hiyo hakuna haha ya kufikiriwa katika miradi ya kimaendeleo (developed region). Kwa upande mungine Mkoa wa Lindi (kwa WM), Kanda ya Ziwa (kwa Rais) na Magharibi (kwa waziri wa fedha) kuna umasikini mno na miradi mingi ipelekwe huko.
Nawambiaga Sana mashemu zangu wa moshi kwamba hiz takwimu zisiwape viburi.

Kagera ilikuwa ya tatu sasa ya kumi na moja rukwa umaskini umeongezeka.

Ni vichekesho eti Dodoma inazidi mwanza maendeleo
 
Back
Top Bottom