Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

Mikoa mitano?

Hebu tazama takwimu vzr Kwanza.

Asilimia ni 31.

Hata haipo top ten Acha kukurupuka mkuu

Lakini pia Kagera ndo mkoa wa tatu Kwa idadi ya watu nchini vip mbona watu wanapenda kukaa kwenye mkoa wa maskini? Kama unavyoainisha wew.

Kimpangilio sasa mikoa maskini ni

1.Rukwa 45%
2.simiyu 39%
3.lindi37%
4.Geita37%
5.mwanza36%
6.kigoma35%
7.Tabora34%
8nk

Kagera ya 11 huko

Tulia usome takwimu vzrView attachment 1142522
Zingatia: Tabora 34.5% na Kigoma 34.5%
 
Sipingi mkuu .
Huoni mkoa unapiga hatua kubwa kutoka tatu best Hadi sasa haupo ten best?
Kuna vitu unabidi ufahamu
Kagera ni mkoa wa tatu Kwa idadi ya watu nchini baada ya dar na mwanza.zaidi ya milion3
Kagera ni mkoa wa tatu wenye population density kubwa tz baada ya dar na mwanza
Hakuna mkoa uliopitia majanga mengi kama Kagera tz tangia Uhuru ndo maana mkoa uliporomoka vibaya ovyo kiuchumi na kimaendeleo . recovery ya vita,MV Bukoba,hiv,minyauko mpaka matetemeko.
NB mnabidi mjionee aibu nyie watu wa moshi hamjawahi patwa janga lolote lile la kuwasumbua lakini bado mkoa wenu haujapiga maendeleo kivile na kuna maeneo mengi Tu kama ya misenyi ( wilaya iliyopigiwa vita ya Kagera) inawazidi mbali Kwa maendeleo ya vijiji.
Na kamji kenu hakajawahi pata hata kutetemeshwa kidogo lakini kanazidiwa na iringa shame on youView attachment 1142529View attachment 1142530

Hata hueleweki
 
1. Vita vya kagera vinaizuiaje kagera kuendelea ili hali vita Vimepiganwa miaka 40 iliyopita, isitoshe athari zilikuwa kwa nchi nzima!!

2. Mv Bukoba??... Mv Bukoba imeizuiaje kagera kuendelea ni Sawa na watu wa Dodoma wakwambie ajali ya treni ya Dodoma inazorotesha mkoa kuendelea au kufika mbali zaidi.

3. Kagera sio mkoa unaongoza kwa maambukizi ya ukimwi, mkoa wa njombe zamani iringa Ndio vinara wa maambukizi na wamekuwa wakishikilia hii title kwa muda mrefu Hata kama ukimwi ulitokea huko, hivyo kisingizio hakina maa hiko

4. Sasa kama hii Ndio sababu na mkoa wa Kilimanjaro usingekuwa wa pili kwa ukwasi isitoshe moja ya mazao tegemezi kilimanjaro ni kahawa tokea enzi za ukoloni.

5. Kigoma wasemaje Sasa kama mnalalamikia wakimbizi, isitoshe wakimbizi ni fursa

6. Haina mashiko, uhalifu unafanyika sana Arusha kushinda hapo Kagera

7. Mnyauko haupo kagera tuu Bali hata Kilimanjaro Ila kagera imebaki kuwa maskini

8. Acha utani mkuu kile kitetemeko cha juzi ndicho kifanye kagera kuwa miongoni mwa mikoa 5 maskini zaidi .. umesahau kuwa kabla ya hilo tetemeko kagera ilikuwa ya pili kwa umaskini.

9. Vikwazo vya kielimu kivipi ili hali wahaya wenyeji wa kagera ni moja ya jamii zilizoelimika zaidi TANZANIA!!

Kimsingi hizi sababu zote hazina mashiko uzijumlishe zote kwa pamoja au moja moja hazishawishi kabisa eti mkoa uko karibu na nchi 3 , mvua za kutosha, wasomi kibao ziwa kubwa , mto mkubwa n.k bado uwe miongoni mwa mikoa maskini zaidi TANZANIA...
Hiz takwimu husiziamini Sana

Hiv kwa nini mkoa anapotoka kiongozi mkubwa lazima mkoa wake huwe maskini Kwanza

Angalia

Lindi.mp
Geita. President
Rukwa.waziri wa mipango
na mikoa yote ya wasukuma.

Mkoa wa pwani ulikuwa maskini Sana wakati wa kikwete alipotoka Tu ukawa wa tano Kwa utajiri si pumba hiz.
 
1. Vita vya kagera vinaizuiaje kagera kuendelea ili hali vita Vimepiganwa miaka 40 iliyopita, isitoshe athari zilikuwa kwa nchi nzima!!

2. Mv Bukoba??... Mv Bukoba imeizuiaje kagera kuendelea ni Sawa na watu wa Dodoma wakwambie ajali ya treni ya Dodoma inazorotesha mkoa kuendelea au kufika mbali zaidi.

3. Kagera sio mkoa unaongoza kwa maambukizi ya ukimwi, mkoa wa njombe zamani iringa Ndio vinara wa maambukizi na wamekuwa wakishikilia hii title kwa muda mrefu Hata kama ukimwi ulitokea huko, hivyo kisingizio hakina maa hiko

4. Sasa kama hii Ndio sababu na mkoa wa Kilimanjaro usingekuwa wa pili kwa ukwasi isitoshe moja ya mazao tegemezi kilimanjaro ni kahawa tokea enzi za ukoloni.

5. Kigoma wasemaje Sasa kama mnalalamikia wakimbizi, isitoshe wakimbizi ni fursa

6. Haina mashiko, uhalifu unafanyika sana Arusha kushinda hapo Kagera

7. Mnyauko haupo kagera tuu Bali hata Kilimanjaro Ila kagera imebaki kuwa maskini

8. Acha utani mkuu kile kitetemeko cha juzi ndicho kifanye kagera kuwa miongoni mwa mikoa 5 maskini zaidi .. umesahau kuwa kabla ya hilo tetemeko kagera ilikuwa ya pili kwa umaskini.

9. Vikwazo vya kielimu kivipi ili hali wahaya wenyeji wa kagera ni moja ya jamii zilizoelimika zaidi TANZANIA!!

Kimsingi hizi sababu zote hazina mashiko uzijumlishe zote kwa pamoja au moja moja hazishawishi kabisa eti mkoa uko karibu na nchi 3 , mvua za kutosha, wasomi kibao ziwa kubwa , mto mkubwa n.k bado uwe miongoni mwa mikoa maskini zaidi TANZANIA...
Umeongea pumba na kama mtu mwenye roho mbaya Sana.

Nisiende mbali.umesema vita viliathiri nchi nzima?[emoji848][emoji848][emoji848]

Basi vingeitwa vita ya Tanzania sio Kagera.
Kwamba mabomu yaliaribu nyumba za mtwara? Au kuharibu kiwanda cha Kagera sugar cha morogoro?

Akili yako ni finyu Sana.
 
Kwa mujibu wa hizi takwimu Kilimanjaro inaifuatia Dsm licha ya kutokuwa Jiji ni mkoa wa pili kwa ukwasi.

Halafu unakuta nyuzi humu ndani wenyeji wa Kagera ambao ni miongoni mwa mikoa mitano maskini zaidi wakijipambanisha na Kilimanjaro ili hali hata Dodoma hawaifikii...

Hizi ni aibu hizi...
Na sisi wa Njombe ni wa 3 baada ya Kilimanjaro. Hiyo naamini. Njombe hata ukienda vijijini ni nadra sana kuona nyumba za tope, miti au zilizoezekwa kwa nyasi. Ni maeneno machache sana. Hakuna matajiri wa kupindukia lakini pia hakuna maskini wa kupindukia.

Arfhi nzuri, mvua za kutosha na bidii kubwa ya watu ya kufanya kazi, vinachamgia sana. Tumeharibiwa uchumi katika awamu hii. Soko la mbao zetu nchini Kenya limekuwa la kusuasua kutokana na yale matendo ya kishetani yankuchoma vifaranga na kupora ng'ombe wa Wakenya.

Soko la mahindi nchini Zambia liliharibiwa na watawala baada ya kutangaza kuwa yasipelekwe nje. Kwa ujumla kwa wananchi wa Njombe, utawala wa awamu hii umekuwa wa kuharibu maendeleo badala ya kuwezesha maendeleo.

Awamu hii, kumbukumbu kubwa kwetu ni ya mabaya kuliko mema.
 
Kule kite walikokataa ccm si maskini wa kutupwa wakumbatia ccm dah poleni
 
Umeongea pumba na kama mtu mwenye roho mbaya Sana.

Nisiende mbali.umesema vita viliathiri nchi nzima?[emoji848][emoji848][emoji848]

Basi vingeitwa vita ya Tanzania sio Kagera.
Kwamba mabomu yaliaribu nyumba za mtwara? Au kuharibu kiwanda cha Kagera sugar cha morogoro?

Akili yako ni finyu Sana.

Kwahyo unataka useme nchi kama nchi kwa ujumla haikuathirika kutokana na vita vya kagera?

Kichwa chako kimefuta kumbukumbu ya misaada mingapi ya hali na Mali ilietwa na serikali katika huo mkoa kutoka mikoa mingine...

Kuanzia chakula mpaka mifugo mlipewa na watu kama michango kutokaw mikoa kingine ila bado maskini tuu ... miaka zaidi ya 40 sasa...

Hebu Njoo na kisingizio kingine ...
 
Na sisi wa Njombe ni wa 3 baada ya Kilimanjaro. Hiyo naamini. Njombe hata ukienda vijijini ni nadra sana kuona nyumba za tope, miti au zilizoezekwa kwa nyasi. Ni maeneno machache sana. Hakuna matajiri wa kupindukia lakini pia hakuna maskini wa kupindukia.

Arfhi nzuri, mvua za kutosha na bidii kubwa ya watu ya kufanya kazi, vinachamgia sana. Tumeharibiwa uchumi katika awamu hii. Soko la mbao zetu nchini Kenya limekuwa la kusuasua kutokana na yale matendo ya kishetani yankuchoma vifaranga na kupora ng'ombe wa Wakenya.

Soko la mahindi nchini Zambia liliharibiwa na watawala baada ya kutangaza kuwa yasipelekwe nje. Kwa ujumla kwa wananchi wa Njombe, utawala wa awamu hii umekuwa wa kuharibu maendeleo badala ya kuwezesha maendeleo.

Awamu hii, kumbukumbu kubwa kwetu ni ya mabaya kuliko mema.

Safi sana wakuu...

Huyo jamaa hapo juu anataka kutuaminisha virusi vya ukimwi ndivyo vimefanya Kagera waendelee kuwa maskini ili hali mkoa umezungukwa na fursa kibao kushinda mikoa mingi sana Tz
 
We umekurupuka pamoja na kukariri hapa ripoti iliyopita mkoa ulipokuwa wa tatu.

Sasa ni mkoa wa kumi na moja mkuu.na umaskini unapungua Kwa kiasi kikubwa.

Anyway wilaya maskini katika mkoa huo hazina sifa hizo ulizozitaja nazo ni biharamulo na ngara ambazo nazo umaskini umepungua

Kwahiyo kwako unaona ni haki kwa mkoa kama kagera kuwa miongoni mwa mikoa maskini zaidi licha ya kuwa na kila kitu kuanzia mvua za kutosha, kushare mipaka na nchi mbali mbali kama Uganda na Rwanda, mto mkubwa , ziwa victoria n.k...

Mnapitwa na singida yenye mabwawa tuu isiyopata mvua za kutosha wala upendeleo wowote wa asili ?!
 
Takwimu zimewapambanisha wachaga na wahaya.
Wamechelea kutetea makabila yao kumbe hawajui kwa kufanya hivyo ni kuikubali takwimu ya UONGO.

Mimi nasema:-
UMASIKIN UMEONGEZEKA SAAANA.

Kwa wakware ukiwa na buku unapiga mtu kipara katikati ya jiji la Dar!!!
 
Back
Top Bottom