Half rey unajua wewe ni mwepesi kuliko kapi

Half rey unajua wewe ni mwepesi kuliko kapi

Angalia usije ukalowesha godoro.. Na mvua hizi sijui litakauka lini... Naona bado uko ndotoni
Watu hawahui slow slow hakutegemea kupokonywa cheo na v8 ghafla. Kila siku wanaambiwa vyeo dhamana lakini hawa jamaa hawaelewi, Angalia sasa kila jua linavyochomoka wazimu unazidi kupaa..🤔🤔🤔
 
Nappe dawa lako lipo jikoni linachemka taratibu muulize Membe kilichompata kuhusu pesa alizokuwa nazo nje amepewa siku 180 awe ameleta ushahidi wa kuonesha ni Kweli ni mali yake halali siyo aliyoiba kwa miaka (10) akiwa waziri kwenye utawala wa kaka yake kafiri lililomuua Magufuli na wewe nakuhurumia sana maana mambo yako ninayo bado asilimia 30% yakae mikononi mwangu

-Membe Account PIN South Africa

-Ridhiwani Account PIN Italian

Next......

Ridhiwani Kiwete pale Italian mambo ni moto pesa kwenye Account PIN

Halafu umwambie huyu kunguni wenu wa Zanzibar sijui Samiah kwamba yule Balozi aliyetuma kunifungulia kesi dhidi sijui ya Jamuhuri hajui kiingereza amtume mwingine anachapia kinoma hadi mahakama inacheka mwambie Mimi haniwezi namuona mbwa kama mbwa wengine

DAWA LAKO LINACHEMKA SOON UTANYWESHWA View attachment 2044280
Kaka kulikoni tena usiku huu twataka kulala siye. Mbona wataka tukeshe hapa tukichimbua zaidi hii kitu!?
 
Hili onyo uliwahi kumpa hata Lisu, Lema na Mbowe pia?
 
Nappe dawa lako lipo jikoni linachemka taratibu muulize Membe kilichompata kuhusu pesa alizokuwa nazo nje amepewa siku 180 awe ameleta ushahidi wa kuonesha ni Kweli ni mali yake halali siyo aliyoiba kwa miaka (10) akiwa waziri kwenye utawala wa kaka yake kafiri lililomuua Magufuli na wewe nakuhurumia sana maana mambo yako ninayo bado asilimia 30% yakae mikononi mwangu

-Membe Account PIN South Africa

-Ridhiwani Account PIN Italian

Next......

Ridhiwani Kiwete pale Italian mambo ni moto pesa kwenye Account PIN

Halafu umwambie huyu kunguni wenu wa Zanzibar sijui Samiah kwamba yule Balozi aliyetuma kunifungulia kesi dhidi sijui ya Jamuhuri hajui kiingereza amtume mwingine anachapia kinoma hadi mahakama inacheka mwambie Mimi haniwezi namuona mbwa kama mbwa wengine

DAWA LAKO LINACHEMKA SOON UTANYWESHWA View attachment 2044280
Mkuu nafahamu una info zote za kinachoendelea na unaelewa fika kwa 100% kwamba Hum-frei ni chambo.

Watu wazito wapo nyuma na wakianza kutoka mmojammoja hakutakalika.
 
Mkuu

Nadhani unafeli kudhani ni Polepole pekee yake

Kuna Magufulists kibao wapo serikalini maana mama kaingia hakubadili kitu

Thats the mistake mama did,na itam-cost big time!

Polepole ni chambo tu....

Magufulism is the problem ndio wanamtuma huyu chambo!

Unachoongea unaangalia usoni,hapo ndio unapofeli kama mama alivyofeli....

Kuanzia Majaliwa na the rest of baraza la mawaziri lote ni Magufulists,wabunge kibao ni wake,wafanyakazi wa serikali kibao ni wake

You are wrong big time..CCM ndio ishapasuka kitambo
Kuna mwamba mmoja ajiandaa kumwaga ugali na mboga kabisa.

Akifanya hivyo kuna watu hawataweza kukimbia maana viwanja vya ndege vitakuwa macho.
 
Hivi aliyepiga zile picha za geto baada ya uvamizi ni yeye HP au hao wahuni?

Mtu unaiona KY Jerry unaipiga picha kweli?
 
Mimi sielewi kitu mnachomnanga hamfrei

Jamaa anapambana na wahuni walioko kwenye chama na wala siyo raisi wa nchi

Ulichoandika ni pumba tu. Sijawahi kumsikia hamfrei anapinga jitihada za raisi samia wala sirikali

Yeye anapambana na wabaya wake kina nape na wengine....

Msizoeee kila mtu atakuwa muoga kama nyinyi kama kufa kila mtu atakufa

Yani kwa mara ya kwanza ndugu mshana umeandika uzi usiojielewaaa kbsaaaa
 
Ngoma unayocheza ni ya kitoto mno.. Haina ubavu wa kukesha.... Huna uwezo wa kucheza mnanda au mchiriku siku hizi wanaita singeli.. Hizo ndio ngoma za kihuni sasa.. Kama huna pumzi unaumbuka...!
Salamu kidogo ulizotumiwa ni onyo la kishkaji sana, hizi sio nyakati za jiwe hizi ni nyakati za watoto wa mjini hawakutoi damu wala manundu wanakunjia tu yai kwenye mpasuko kisha wanakupiga picha...
Hakuna anatakayekudhuru hata ukucha ila utabadilishiwa tu santuri za mjini tena kwa mitindo tofauti tofauti.. Wewe ni chawa tena yule kiroboto.. Wanakujua vema.. Ndio maana wameamua kukucheza shere japo kiduchu.. Hizo ni salam tuu ..kama unagutuka gutuka sasa!.. Ukiendeleza ushamba wako hakuna rangi utaacha kuona.. Utasagiwa mpaka kunguni

Hili dubwana linaloitwa SIRIKALI lione hivi hivi...! Unamsikia tena Gwajiboi? Hajaguswa hata ukucha Lakini umeona alivyopoa kuliko marehemu mochwari? Vp na mzee wa PhD famba ya kupigwa? Cheza michezo yako yote lakini ukifika kwenye kibao kilichoandikwa SIRIKALI.. Brother nakushauri ufyate kama mbwakoko ugenini..!

Brother sikio litabaki kuwa sikio.. Kamwe halitakaa lizidi kichwa... Kuna viungo bandia vya kila aina lakini sio sikio lililozidi kichwa! Labda liwe la mdoli...! Ukinyonga na ukigeugeu wako vinasadifu ufinyu wa fikra ulionao.. Dr. Bashiru aliyeamua kukaa kimya sio mjinga..AMEJITAMBUA...!!!
Ulipewa salio la msg ukataka na kifurushi cha internet..! Ulikaribishwa upenuni, ukajiingiza sebuleni sasa unataka kuingia chumbani..Thubutuu.. Hizi adabu umefunzwa wapi? Na nani?

Kama walozi wenyewe tunaigwaya serikali wewe ni nani mpaka ujitie kifutu? Brother angalia na makinika usije ukawa na tabia za kenge! Maana kenge hasikii mpaka damu zimtoke masikioni...!

Usije ukajaribu kuinua kichwa tena.. Rungu zito zaidi litatua juu yake kwa style zilezile za watoto wa mjini...
Mkuu umeandika maneno ya vizuri sana, ila tambua tu kila jambo chini ya jua linawezekana. Kaa utulie utazame movie ndio uje na conclusion. Jambo la msingi tu ni kwamba huwezi jua yeye anasilaha gani kwahiyo kaa kwa kutulia mkuu. Tuiache vita zidi ya wahuni iishe salama.
 
Back
Top Bottom