Ageuke nyuma aone Kama Kuna kiuongozi yeyote wa ccm kuanzia wenyeviti wa vijiji na Miata, madiwani na hata wabunge aliowaingiza madarakani Kama wanamtetea au kuunga hoja zake!Huyu mtu ni mshamba wa vyeo na madaraka! Hakuwahi kuziota nafasi alizozawadiwa na Magufuli Kama Kuna siku atakalia ofisi kubwa! Kwa ushamba wake akaghairi kujifunza Kwa wengine akiamini kuwa ana uwezo mkubwa kuwazidi waliomtangulia. Alitumika kishamba kwani alikuwa mshamba wa madaraka! Ndio maana wajuaji wakampa zile assignment za kuutesa upinzani na hata kuwaua wapinzani! Ni laana zinamuandama na zitamtia uchizi!
Ageuke nyuma aone Kama Kuna kiuongozi yeyote wa ccm kuanzia wenyeviti wa vijiji na Miata, madiwani na hata wabunge aliowaingiza madarakani Kama wanamtetea au kuunga hoja zake!
Mfumo aliouasisi ndio utakaomnyonga!
Nimshauri TU kuwa ajiuzulu huo ubunge wake akajilie vile vichenji vya kuwanunua wale wabunge na madiwani wa cdm hatachekwa!

Huyu jamaa kinachomponza ni vile alivyo jitambulisha kwenye siasa mtu mwenye misimamo na mawazo mapana ambaye kwa hakika alikua anafurahisha kusikiliza porojo zake nilikua namkubali sana ila chawa huyu alivyokuja kupata jina kwenye siasa na vyeo vikamfwata aisee alibadilika na kua mtu tofauti kabisa hadi nikawa najiuliza wamemfanya nini au yale aliyokua anayaongea kipindi cha mchakato wa katiba alikua kamezeshwa tu mbona amekuja kua na mawazo finyu namna hii na kigeu geu kiasi hiki.Ngoma unayocheza ni ya kitoto mno.. Haina ubavu wa kukesha.... Huna uwezo wa kucheza mnanda au mchiriku siku hizi wanaita singeli.. Hizo ndio ngoma za kihuni sasa.. Kama huna pumzi unaumbuka...!
Salamu kidogo ulizotumiwa ni onyo la kishkaji sana, hizi sio nyakati za jiwe hizi ni nyakati za watoto wa mjini hawakutoi damu wala manundu wanakunjia tu yai kwenye mpasuko kisha wanakupiga picha...
Hakuna anatakayekudhuru hata ukucha ila utabadilishiwa tu santuri za mjini tena kwa mitindo tofauti tofauti.. Wewe ni chawa tena yule kiroboto.. Wanakujua vema.. Ndio maana wameamua kukucheza shere japo kiduchu.. Hizo ni salam tuu ..kama unagutuka gutuka sasa!.. Ukiendeleza ushamba wako hakuna rangi utaacha kuona.. Utasagiwa mpaka kunguni
Hili dubwana linaloitwa SIRIKALI lione hivi hivi...! Unamsikia tena Gwajiboi? Hajaguswa hata ukucha Lakini umeona alivyopoa kuliko marehemu mochwari? Vp na mzee wa PhD famba ya kupigwa? Cheza michezo yako yote lakini ukifika kwenye kibao kilichoandikwa SIRIKALI.. Brother nakushauri ufyate kama mbwakoko ugenini..!
Brother sikio litabaki kuwa sikio.. Kamwe halitakaa lizidi kichwa... Kuna viungo bandia vya kila aina lakini sio sikio lililozidi kichwa! Labda liwe la mdoli...! Ukinyonga na ukigeugeu wako vinasadifu ufinyu wa fikra ulionao.. Dr. Bashiru aliyeamua kukaa kimya sio mjinga..AMEJITAMBUA...!!!
Ulipewa salio la msg ukataka na kifurushi cha internet..! Ulikaribishwa upenuni, ukajiingiza sebuleni sasa unataka kuingia chumbani..Thubutuu..Hizi adabu umefunzwa wapi? Na nani?
Kama walozi wenyewe tunaigwaya serikali wewe ni nani mpaka ujitie kifutu? Brother angalia na makinika usije ukawa na tabia za kenge! Maana kenge hasikii mpaka damu zimtoke masikioni...!
Usije ukajaribu kuinua kichwa tena.. Rungu zito zaidi litatua juu yake kwa style zilezile za watoto wa mjini...![]()
Ngoma unayocheza ni ya kitoto mno.. Haina ubavu wa kukesha.... Huna uwezo wa kucheza mnanda au mchiriku siku hizi wanaita singeli.. Hizo ndio ngoma za kihuni sasa.. Kama huna pumzi unaumbuka...!
Salamu kidogo ulizotumiwa ni onyo la kishkaji sana, hizi sio nyakati za jiwe hizi ni nyakati za watoto wa mjini hawakutoi damu wala manundu wanakunjia tu yai kwenye mpasuko kisha wanakupiga picha...
Hakuna anatakayekudhuru hata ukucha ila utabadilishiwa tu santuri za mjini tena kwa mitindo tofauti tofauti.. Wewe ni chawa tena yule kiroboto.. Wanakujua vema.. Ndio maana wameamua kukucheza shere japo kiduchu.. Hizo ni salam tuu ..kama unagutuka gutuka sasa!.. Ukiendeleza ushamba wako hakuna rangi utaacha kuona.. Utasagiwa mpaka kunguni
Hili dubwana linaloitwa SIRIKALI lione hivi hivi...! Unamsikia tena Gwajiboi? Hajaguswa hata ukucha Lakini umeona alivyopoa kuliko marehemu mochwari? Vp na mzee wa PhD famba ya kupigwa? Cheza michezo yako yote lakini ukifika kwenye kibao kilichoandikwa SIRIKALI.. Brother nakushauri ufyate kama mbwakoko ugenini..!
Brother sikio litabaki kuwa sikio.. Kamwe halitakaa lizidi kichwa... Kuna viungo bandia vya kila aina lakini sio sikio lililozidi kichwa! Labda liwe la mdoli...! Ukinyonga na ukigeugeu wako vinasadifu ufinyu wa fikra ulionao.. Dr. Bashiru aliyeamua kukaa kimya sio mjinga..AMEJITAMBUA...!!!
Ulipewa salio la msg ukataka na kifurushi cha internet..! Ulikaribishwa upenuni, ukajiingiza sebuleni sasa unataka kuingia chumbani..Thubutuu..Hizi adabu umefunzwa wapi? Na nani?
Kama walozi wenyewe tunaigwaya serikali wewe ni nani mpaka ujitie kifutu? Brother angalia na makinika usije ukawa na tabia za kenge! Maana kenge hasikii mpaka damu zimtoke masikioni...!
Usije ukajaribu kuinua kichwa tena.. Rungu zito zaidi litatua juu yake kwa style zilezile za watoto wa mjini...![]()
Inashangaza mpiga ramli unatoa mikwara mbuzi
Kafanyiwa fair sana kuna maelfu hawakuwa na hiyo bahati.. Simtishi nimetoa mifano halisi
Wamtetee kwa lipi ?Ageuke nyuma aone Kama Kuna kiuongozi yeyote wa ccm kuanzia wenyeviti wa vijiji na Miata, madiwani na hata wabunge aliowaingiza madarakani Kama wanamtetea au kuunga hoja zake!
Mfumo aliouasisi ndio utakaomnyonga!
Nimshauri TU kuwa ajiuzulu huo ubunge wake akajilie vile vichenji vya kuwanunua wale wabunge na madiwani wa cdm hatachekwa!![]()
Kiroboto anatapatapa sana,
Kweli jamaa alitumika vby san na sasa yanamkuta.
Sijui umjini kautoa wapi huyo chawa.alitembea kwa magoti ikulu kuomba arudishwe kwenye line na Magu kiroho safi kamsamehe.Hivi Nape ni mtoto wa mjini. Nchi hii bado sana ! Halafu eti mijitu inadai demokrasia kumbe waongo tu. Eti watoto wa mjini ! Mtoa post unaanza kuzeeka sasa. Acha watu wawe huru kuongea.
Kwamba watu waje na SMG ujidanganye utawapiga na Muai Thay au Gujuruu😅 zako!Natamanigi Sana haya mazali Kama ya polepole ya kutishiwa na kutaka kuuawa yanitokee naweza tembeza mkono balaa
Natamanigi Sana haya mazali Kama ya polepole ya kutishiwa na kutaka kuuawa yanitokee naweza tembeza mkono balaa
Angalia usije ukalowesha godoro.. Na mvua hizi sijui litakauka lini... Naona bado uko ndotoniHivi Nape ni mtoto wa mjini. Nchi hii bado sana ! Halafu eti mijitu inadai demokrasia kumbe waongo tu. Eti watoto wa mjini ! Mtoa post unaanza kuzeeka sasa. Acha watu wawe huru kuongea.