Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,036
- 831,634
But your thread impliedly says it all. So hukwepi huu ukweli. Tukubaliane mambo mawili;Hakuna popote niliposema hayo yote Ahsante!
Yethuu na Marie 😀
Inshaaalah atakuwa amesikiaMwenye masikio na saikie, tuseme Amina!!!!
Kila jambo lina wakati wake.. Na ukifika wakati husika kuna mawili kulia ama kucheka inategemea uko upande gani! Pole pole ni sehemu ya uovu mwingi uliofanyika kipindi chao.. Alichofanyiwa ni cha kishkaji mno kulinganisha na wale waliofanyiwa kipindi chao.. Anyway sifurahii uovu ila kuna njia ya kuonjeshana tamu na chunguBut your thread impliedly says it all. So hukwepi huu ukweli. Tukubaliane mambo mawili;
1. Ama tukae kimya tukubali kupelekwa machinjioni kama kondoo.
2. La tuendelee kupiga kelele dhidi ya uovu hata kama watesi wetu nao wameingia kuwa wateswa.
Itakuwa ni ajabu sana kama tutashangilia kuona watesi wetu wameanza kuwashughulikia watesi wetu. Kwa sababu haimaanishi kuwa wakishawamaliza waliokuwa watesi wetu sisi tutakuwa salama.
Nina uhakika wakiwamaliza waliokuwa watesi wetu wa awali watarudi kuendelea kutushughulikia tu
wacha waisome namba ccm mbele kwa mbele sasa ndo naelewa maana ya huu wimboKila jambo lina wakati wake.. Na ukifika wakati husika kuna mawili kulia ama kucheka inategemea uko upande gani! Pole pole ni sehemu ya uovu mwingi uliofanyika kipindi chao.. Alichofanyiwa ni cha kishkaji mno kulinganisha na wale waliofanyiwa kipindi chao.. Anyway sifurahii uovu ila kuna njia ya kuonjeshana tamu na chungu
Inaelekea hata mbowe kupewa kesi ya ugaidi ni kafanyiwa fair?Fair gani kwani hii nchi ya wachache tu ? Umeonesha utoto kabisa.
Na huyu mwamba ni chadema, Ila anaamini serikali haipaswi kukosolewa Wala kupingwa. Ukiipinga na kuikosoa basi Ni halali yako kushughulikiwamshana ...........
unataka kusema peoole should be crying mutedly? Kwamba serikali haitaki Katiba Mpya basi watu wasiidai? Kwamba serikali imeamua kubambikia watu kesi basi watu wakae kimya wasipige kelele?
Sidhani kama tumeelewana hapaIna maana alichofanyiwa membe na nape kipindi Cha jiwe kulikuwa sahihi? Tu kwa sababu walikuwa wakiipinga serikali?
Au anachopitia mbowe sasa hivi ni sahihi kwa kuwa nae alianza kuipinga serikali hii??
Serikali haitakiwi kupingwa na yoyote?
Nadhani hatukuelewana kabisaNa huyu mwamba ni chadema, Ila anaamini serikali haipaswi kukosolewa Wala kupingwa. Ukiipinga na kuikosoa basi Ni halali yako kushughulikiwa
hata mbowe kupewa hii kesi ya ugaidi pia ni halali yake
Aisee, kazi ipo
Nimecheka hii picha jamani😂😂😂😂
This is too low for you Mshana JrKila jambo lina wakati wake.. Na ukifika wakati husika kuna mawili kulia ama kucheka inategemea uko upande gani! Pole pole ni sehemu ya uovu mwingi uliofanyika kipindi chao.. Alichofanyiwa ni cha kishkaji mno kulinganisha na wale waliofanyiwa kipindi chao.. Anyway sifurahii uovu ila kuna njia ya kuonjeshana tamu na chungu
Memento nahitaji kukuelewesha ili usipotoshe maana kusudiwa kwenye hii mada.. Wala usijaribu kumlinganisha mwenyekiti Mbowe na Polepole! Mateso anayopitia Mbowe na wapinzani wengine pamoja na familia zao, ndugu jamaa marafiki na wapenda amani wote ni zao la udhalimu wa matendo ya akina polepole enzi za MaguNa huyu mwamba ni chadema, Ila anaamini serikali haipaswi kukosolewa Wala kupingwa. Ukiipinga na kuikosoa basi Ni halali yako kushughulikiwa
hata mbowe kupewa hii kesi ya ugaidi pia ni halali yake
Aisee, kazi ipo