Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
wacha kweli,wenzio wala pasi na kifani.
Watu wanajilia,huku nyama,kule mayai na viazi.
Watafanyaje unafikiri?
Mpwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, sema wewe bhana, kuku mchokozi, yai mchokozi na kifaranga sasa mie nifanyeje? Maadili yakataza, Jamii haikubali lakini hali ya sasa ni tete sana Mpwa, nimependa sana mashairi yako hasa lile la juzi la kusuguana lile...........
Mwanasheria wewe ni very clever,
kuna jamaa pale mbeya alimla kuku na mayai yake siyo yai lake ni mayai yake
tena akawa anatamba bila aibu mbele za wenzie,
tena hii inafanya hata watu ..... anyway nitasema baadae.
tunakula kuku na mayai yake, na kifaranga akililalamika tunamkamata alafu tunamkaanga.
Daudi Mchambuzi Mipaka yako iko wapi hapo?
Mamndenyi huyo mharibifu yuko wapi sasa? Hachechemei kweli?
Hasa yale unayoyakuta tumboni baada ya kumchinja...... yanakuwa nyolonyolo kweli, ukigusa tu limepasuka na ute wote kumwagikaRaha ya kuku umle na mayai yake!
Rutashubanyuma huyo jamaa yupo ila amefilisika kiasi kikubwa.