Kuku uliwa na mayaie, hiyo haina haramuie,
Kuku na yai ni ile ile, hakuna tofautile,
Kula ni kula mayaie, yote kula ni sawie,
Nyama ya kuku ni tamu, kula ukipata nafasi.
Mayaie ni maarufu,uliwa kwa stahilia,
Uliwa kwa mchemsho, uliwa naviazi mbatata,
Wengine upenda jicho, chips pia yai uitwa,
Wengine uagiza spanishio, wachina ula na bwabwa.
Mayai ya kuku safi, wengi uweka na keki,
Shababi ula omleti, mayaie ni egi chopi,
Mayai ya kuvuruga, ya faa sana kwa ugali,
Mayai ni mazuri, kula na kuku si dhambi.
Kula kuku na mayai, kwa stahili ni sawia,
Kuku upakwa mayai, huyu ni wa kukaanga,
Kuku wa kuchoma na yai, udenda utoka kabla,
Kuku uliwa na yai, kwa staili ni sawia.
Grili ya kuku na yai, na atasaza ugali,
Rosti ya kuku na yai, haya mayai ya tumboni,
Nani atasaza wali, kwa rosti kuku na yai,
Kuku uliwa na yai, kwa staili ni sawia.
Kuku uliwa na yai, kwa staili ni sawia,
Ruta kula kuku na yai, kwa staili ni sawia
Kuku uzaa yai, yai ni kuku pia,
Kuku uliwa na yai, kwa staili ni sawia.