Mhhhh, hapa hata Msukuma haoni ndani.
Sipati picha akiota anapiga tarumbeta tena lile la sauti nzito itakuwaje humo chumbani...Duu, licha ya wingi wa hio menu, pia ni mchanganyiko wa vyakula tofauti, sipati picha amalize then achape usingizi, mbona ataota kama anakimbwizwa na shetani!!!!! Hahahaaa
kaambiwa anakufa leo???
Mkuu huo siyo ubwabwa,hiyo ni biriani inapatikana sana pale hydrabad kule india!Huo ubwabwa unafanania kama ule wa ccm wanaohongaga..!
Are you real serious?ndiyo..alihukumiwa kunyongwa sasa leo anapewa chakula cha mwisho then ananyongwa!
Mhhhh, hapa hata Msukuma haoni ndani.
Mhhhh, hapa hata Msukuma haoni ndani.