Halafu mnasema Wanyamwezi wanajaza vyoo....... Tembeeni Washamba nyie!!!!!

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
Mhhhh, hapa hata Msukuma haoni ndani.

601977_509802625739073_1842473603_n.jpg
 
Duu, licha ya wingi wa hio menu, pia ni mchanganyiko wa vyakula tofauti, sipati picha amalize then achape usingizi, mbona ataota kama anakimbwizwa na shetani!!!!! Hahahaaa
 
Duu, licha ya wingi wa hio menu, pia ni mchanganyiko wa vyakula tofauti, sipati picha amalize then achape usingizi, mbona ataota kama anakimbwizwa na shetani!!!!! Hahahaaa
Sipati picha akiota anapiga tarumbeta tena lile la sauti nzito itakuwaje humo chumbani...
 
Back
Top Bottom