Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,320
Sababu anakupenda atahakikisha hakuumizi; ukweli ni mchungu..., Kama anachofanya kinasaliti pendo lenu sio lazima anafanya hivyo sababu hakupendi bali hio ndio tabia yake... (Kwahio kama aliteleza atahakikisha Siri hii anaingia nayo Kaburini).
Hivyo basi usiseme hakupendi bali ongelea tabia yake ambayo ni mbaya kwako..., Je unadhani ni bora yule anayelikoroga alafu linamuumiza (guilty conscious) eti anajuta anaamua kukuletea wewe ili likuumize.... Je huyu ndio anayekupenda kuliko yule anayeamua kukukinga na maumivu hivyo kuumia mwenyewe?
Usiseme kwamba kwanini hakufanya alichofanya (hizo ni tamaa na tamaa sio necessarily absence ya penzi)
Though lie of Omission is Still a Lie. Most of the time its Necessary.