Hakuna watu wanaopenda kujisifu kama wacheza drafti

We mchumba unakuja kucheza mida ya wanaume waume za watu huku unaturingishia chuchu zako... Si unataka ubakwe halafu ututafutie kesi. Haya angalia sasa unapanua miguu na ndani hujavaa chupi....

Jamani eeeeh....njooni muwe mashahidi huyu mrembo anataka nimgegede hapa hapa kibarazani mbele ya macho yenu....angalieni anachofanya...anapanua miguu ndani hajavaa chupi....kisha kaloana anataka aliwe... Haya dada geuka...inama.... Kitu hicho....unasemaje? Bado una hamu tena upigwe mti?

Jamani kuna mwingine naye anataka apigwe na ukuni? Mi mtu akilazimisha kuchapwa nao namchapa nao tu....njoo wewe mrembo naona kifua saa sita....tega hapo nikupige na ukuni..

Hayo ni maneno ya mswahili akicheza karata.

Wewe utaishia pale kitanzini MR hufiki,kuna wazee wapo pale MR hotel kete wanasukuma kwa macho.
Akiona anaenda kingi utaskia john na mpira,john na mpira,anakwenda john kupeleka posa kapata mwali..
Akikufunga goal moja anakwambia nakupiga kamoja tu nna wake wengi nikikupiga viwili wake wenzako watakosa...
Yani kamoja kama nguruwe huwa hapigi vingi
Ukianza wewe kusukuma kete utaskia anayefata nani mmeniletea mporipori huyu ananishusha kiwango amefikaje hapa..
Ukisuma kete moja utaskia wewe uwe unakuja asubuhi kufanya mazoezi huu muda wa mafundi unataka kubakwa hapa

Huu mchezo hauhitaji watu wenye hasira kuitwa mchumba,baby,mke,mchepuko,mwanamwali,tanua nipite,maraya wewe
 
Mimi sijui kusukuma kete kivile ila ni mshabiki mkubwa sana wa draft. Huwa nafarijika kuona watu wakicheza kuliko hata soka. Na naijua michezo balaa nikiwa nje ila nikishika kete inayeyuka yote. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asilimia90 ya uliowataja hapo ni wacheza kamari( kamaria) na hicho ndicho kinachowapa umaarufu wengine ni wataalamu wa huo mchezo lakini hawapendi kamari
Heavyweight wa draft Tanzania hawazidi kumi Mangwelele,Shaban katoto,Ronaldo,Nduli ndulaima,Noel,Aman Siri Mchunguzi,Kwatamwizi,Simba Dom,Simba Keko ,Dogo janja,Ali baka wa Moshi na Rama wa Arusha...Issa Mamba bingwa wa tege kumi Tanzania kama haupo hapo hatukutambui...
 
Ila marehemu Juma mchafu alikuwa ananifurahisha sana life style yake.alikuwa akiamka asubui anatoa nyumbani na msingi wake mia 500, anatembelea kila kijiwe anatoa sare 1 kwa yoyote yule.alikuwa na kauli yake anasema(sikujui unijui zuiya sare 1
Ila kuna siku walimlaza njaa maeneo ya majohe kwa ngozoma, alikutana na jamaa anaitwa ostadhi akamtangazia sare 1.kilichomkuta marehemu mchafu ilikuwa balaa mpaka akachimba ndo ikawa pona pona yake

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app

Lugha special kwa watu wa draft,vijana waliozoea kucheza ps3 hawatakuelewa.
 
Heavyweight wa draft Tanzania hawazidi kumi Mangwelele,Shaban katoto,Ronaldo,Nduli ndulaima,Noel,Aman Siri Mchunguzi,Kwatamwizi,Simba Dom,Simba Keko ,Dogo janja,Ali baka wa Moshi na Rama wa Arusha...Issa Mamba bingwa wa tege kumi Tanzania kama haupo hapo hatukutambui...
Mangwelele nshacheza nae ila jamaa kama ana uchawi flani hivi. Nilitoa droo la kwanza nlikua nshamkalisha kabisa kabisa sijui aliipataje, la pili nahisi kama alinifunga kimiujiza nikaona niondoke. Ronaldo unaemzungumzia ni yupi au yule kutoka kutoka zanzibar, kama ni huyo nshampiga sana pale kwerekwe zanzibar, wanantambua vizuri, huyo issa mwamba pia nlishakutana nae tukaishia 2-1 na akaniambia atanitafuta. Mpaka leo kimya. Nipo mzee wa force king
 
Ronaldo yupo dodoma ila alianza kuchezea Dar...Sijakuelewa ulimfunga Issah Mamba goli mbili kwa moja michezo ya kawaida au Tege?
 
Miaka kama kumi iliyopita nilikutana na Dada mmoja anacheza pale soko la Karume Dar. Akikubana sana anakuita mchumba, akikufunga anakuita mrembo
 
Wewe utaishia pale kitanzini MR hufiki,kuna wazee wapo pale MR hotel kete wanasukuma kwa macho.
Akiona anaenda kingi utaskia john na mpira,john na mpira,anakwenda john kupeleka posa kapata mwali..
Akikufunga goal moja anakwambia nakupiga kamoja tu nna wake wengi nikikupiga viwili wake wenzako watakosa...
Yani kamoja kama nguruwe huwa hapigi vingi
Ukianza wewe kusukuma kete utaskia anayefata nani mmeniletea mporipori huyu ananishusha kiwango amefikaje hapa..
Ukisuma kete moja utaskia wewe uwe unakuja asubuhi kufanya mazoezi huu muda wa mafundi unataka kubakwa hapa

Huu mchezo hauhitaji watu wenye hasira kuitwa mchumba,baby,mke,mchepuko,mwanamwali,tanua nipite,maraya wewe

pole sana kijana inaelekea shughuli yangu huijui . na kwa taarifa yako huo mkoa siyo mara ya kwanza mimi kuja na nimeshachua pesa za hao wazee mara nyingi tuu. wazeee wote wanaocheza pale mimi wananifahamu na nikifika tuuu lazima waniachie siti na ambaye huwa anajifanya jeuri kwangu huwa na mpatisha kindandi na kumwambia atafute sare mojaa tuu . ni mzee gani pale utakaenizuia nisichukue hiyo laki tano . wachezaji wote pale nawafahamu na ubovu wao naujua . kijani kama unataka kuniona njoo MR tarehe 5 siku wanayozindua hayo mashindano . watu tumezaliwa kuucheza huu mchezo .
 
Mangwelele nshacheza nae ila jamaa kama ana uchawi flani hivi. Nilitoa droo la kwanza nlikua nshamkalisha kabisa kabisa sijui aliipataje, la pili nahisi kama alinifunga kimiujiza nikaona niondoke. Ronaldo unaemzungumzia ni yupi au yule kutoka kutoka zanzibar, kama ni huyo nshampiga sana pale kwerekwe zanzibar, wanantambua vizuri, huyo issa mwamba pia nlishakutana nae tukaishia 2-1 na akaniambia atanitafuta. Mpaka leo kimya. Nipo mzee wa force king
Wewe kwangu hata sare hutoi, nakupiga suti. Michezo 10 goli 10.
 
na kama kuna mtu anajifanya bingwa humu aseme anataka kuuana na nani hapo tumuandalie pambano acheni ngonjera tupime upungufu wa Akili mwilini..
Mkuu unakaa wapi Mimi nitakufuata hukohuko kwa nauli yangu
Najua hufui dafu hapa
 
Back
Top Bottom