Mimi wa kanda ya ziwa ila huwa sichezi hiyo French...Super mnafungana huko pwani side huku kanda ya ziwa tunacheza mbele na nyuma haina super.
Hiyo ni defense mechanism...wengine wanaanza na kusema 'sijacheza huu mchezo muda mrefu' huu n mkwara kbl ya game kuanza
mangwelele na bedui ni mabingwa wa dar
Hiyo inaitwa frenchSuper mnafungana huko pwani side huku kanda ya ziwa tunacheza mbele na nyuma haina super.
Ww acha kutisha watu panga kete ukalie mchiHaaa !!! haaa !!! haaa !! kwa jinsi navyo tupa kete , humu ndani hakunaaaa hata mmoja wakunifunga mimi kwenye huu mchezo ,hapa nilipo nimetoka dar naelekea Iringa maana nimesikia kuna mshindano huko ya draft na mshindi wa kwanza anapewa laki 500000 .Sasa nataka nikawaoneshe wahehe kuwa huu mchezo unawenyewe na wenyewe ndiyo sisi.
copy zaku sitakazo nisaidia kujichukulia pesa hizo ni pamoja naa
- kilosa a.k.a sumu ya pandu
- Samba zote unazozifahamu
- Six by six
- Guu la jini
Lazima jina wahehe wapate shida hukoooooo.
Wengine ndio mbinu zao hizo, anakufunga kwa maneno maneno tu.Ile ni tekiniki ya kumtoa mpinzani ktk mchezo mana draft ni moja ya mchezo unaotumia akili sana kuucheza....
Unapenda sifa sana.Wanaocheza drafti wakijisifu na sisi tunaocheza underwater three dimensional chess while swimming with the sharks without being eaten alive tufanye nini?
Usikariri.Kanuni kuu ya drafti ni kumiliki mstari mkuu unaogawa ubao wa mchezo kwa mshazali. Ukiweza kuudhibiti huo na ukajizuia kufanya makosa madogo madogo yanayotokana na mitego ya mshindani wako, ushindi au draw ni kitu cha uhakika.
Wote wanaojifunza na kujua kucheza drafti kwa umahiri mkubwa wanafahamu kuwa hakuna ufundi kwenye mchezo huo zaidi ya kukumbuka kanuni niliyoitaja hapo juu, kwa kufahamu hivyo ndio maana wanajihami kwa vitisho na ujivuni, kama ukisikiliza hayo madharau kwa sana, utatetereka na kufanya makosa yatakayompa mpinzani wako ushindi. Ni hivyo tu!.
Ww acha kutisha watu panga kete ukalie mchi
[/QUOTE
upo kijiwe gani nikutafute ?
wengine wanaanza na kusema 'sijacheza huu mchezo muda mrefu' huu n mkwara kbl ya game kuanza
na wamasai wanaoua simba wafananye nini?Wanaocheza drafti wakijisifu na sisi tunaocheza underwater three dimensional chess while swimming with the sharks without being eaten alive tufanye nini?
Wewe utaishia pale kitanzini MR hufiki,kuna wazee wapo pale MR hotel kete wanasukuma kwa macho.Haaa !!! haaa !!! haaa !! kwa jinsi navyo tupa kete , humu ndani hakunaaaa hata mmoja wakunifunga mimi kwenye huu mchezo ,hapa nilipo nimetoka dar naelekea Iringa maana nimesikia kuna mshindano huko ya draft na mshindi wa kwanza anapewa laki 500000 .Sasa nataka nikawaoneshe wahehe kuwa huu mchezo unawenyewe na wenyewe ndiyo sisi.
copy zaku sitakazo nisaidia kujichukulia pesa hizo ni pamoja naa
- kilosa a.k.a sumu ya pandu
- Samba zote unazozifahamu
- Six by six
- Guu la jini
Lazima jina wahehe wapate shida hukoooooo.
Mkuu mimi sio mtu mzuri kabisa. Force kingi hapa ndio nyumbani kwao. Ukicheza kete moja tu limeisha.Mm mwenyewe ukisukuma kete moja tu limeisha