gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,943
- 6,143
Ha haaa,nna mshkaji wangu huyo naye ni hatari kwa kupiga force king yaan game ikiisha kakukosa force ujue unamfunga au sare maana umeruka mitego yote.
Natamani tuweke ushindani wa draft humu. Ndo mtanitambua umaarufu wangu. Naitwa force king, huna vya kucheza nisikupige force