doup
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 2,718
- 2,900
Mimi natumia "Gusa hiyo kete ninuke", ila enzi zangu nipo bush nasoma nilikuwa nawakimbiza hadi wazee wazima pia ilifanya akili yangu kwenye somo la hisabati kuwa vizuri sana, maana mtu unakuwa na uwezo wa kusense hadi move kumi mbele kwa kifupi you can read your opponent mind na kumcontrol acheze wapi. The same kwenye hesabu unaona swali unachakata njia za kuflow na jibu lake unalo tayari, baada ya hapo unaandika tu kama unapiga mruzi.