Hakuna urafiki kati ya Askari Polisi na raia. HAKUNA!

Kuna jamaa alikua na pesa akawa rafiki wa polisi kituo kizima siku aliyofilisika akafanya kosa flan akakamatwa kwakua kashakua njaa kali wakampa ufagio afagie kituo kizima na kufyeka
Inasikitisha sana 😭😭🤣😁
 
Nature ya kazi ya polisi imewekewa misingi isiyo na urafiki kuna baadhi ya makosa ukifanya hata huyo rafiki yako polisi anakua hana uwezo wa kukusaidia hata akitaka kukusaidia wala hataweza
Naunga mkono hoja kaka
 
Acha makasiriko jamaa angu,
1. Kuna walimu wanaenda shule na hawaingii darasani
2. Kuna madaktari wanaandikia dawa ungonjwa haupo ili wauze dawa.
3. Kuna wafamasia wanawabambikia watu dawa zilizoisha muda.
4. Kuna viongizi wanatumia wadhfa wao kuumiza wengine au kwa maslahi binafsi.

Hawa wote ni waovu ila namna wanafanya uovu ni tofauti.

Avoid generalization
Asante kwa ufafanuzi mzuri uliyoenda shule.
 
NI kweli. Lakini hakuna watumishi wanaotumia ofisi/madaraka yao vibaya kama Polisi. Uonevu dhidi ya masikini kwa lengo la kujipatia kipato ndio kazi ya kila siku ya asilimia 90 ya maafisa wa Polisi. Kusingizia watu kesi, kuchukua rushwa bila kujali maumivu ya wengine kwenye jambo husika, wengine mpaka wanaua na kusingizia eti wameua jambazi. Ukipeleka kesi yako genuine na huna pesa au hakuna uwezekano wa kutengeneza pesa kwenye hiyo kesi hakuna askari atajishughulisha nayo. Polisi ni laana kuliko laana yenyewe.
Viongozi wakubwa wa ccm wanaongoza kwa kutumia ofisi vibaya kuliko hata Askari unaowaonea.Askari akiwa kazini anatimiza majukumu yake hivyo tusiwaingilie.Ila viongozi wa ccm wanastahili kuwajibishwa.
 
Umenena Kweli yote,

Kama ambavyo HAUPO, HAUJAWAHI KUWAPO NA HAUTAKUWEPO URAFIKI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE,

Likewise, haupo urafiki kati ya Polisi na Raia.

Mahusiano mazuri ya kufanya KAZI yapo, hakuna uadui, ila pia hakuna urafiki. Ukiona Pana urafiki, jua mmoja anakwenda kuumia, au wote Kwa pamoja wataharibikiwa soon🤔

Ubarikiwe.
 
Umenena Kweli yote,

Kama ambavyo HAUPO, HAUJAWAHI KUWAPO NA HAUTAKUWEPO URAFIKI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE,

Likewise, haupo urafiki kati ya Polisi na Raia.

Mahusiano mazuri ya kufanya KAZI yapo, hakuna uadui, ila pia hakuna urafiki. Ukiona Pana urafiki, jua mmoja anakwenda kutumia, au wote Kwa pamoja wataharibikiwa soon🤔

Ubarikiwe.
Hakika.
 
Back
Top Bottom