Hakuna urafiki kati ya Askari Polisi na raia. HAKUNA!

Hakuna urafiki kati ya Askari Polisi na raia. HAKUNA!

Polisi hana ushkaji kabisa
Kama polisi mshkaji wako
Atakutumia wenzake alafu yeye
Anakaa pembeni 😄
Ila sasa ukiwapa mlungula lazima watamtaja snitch 😄

Ova
Huwa wanawaitaga watu welevu au wajuaji Bush lawyer 😊

Dkk 0 hawakawii kukugeuka utapewa hata kesi ya ""KULIZUIA JESHI KETENDA KAZI YAKE""
Hili Ni kosa common Sana utaambiwa """UMELIZUIA JESHI KETENDA KAZI YAKE""
 
Umekutana na dhahamaa gani
Na porisi 😄

Ova
Screenshot_20240511-165159.png
 
Acha makasiriko jamaa angu,
1. Kuna walimu wanaenda shule na hawaingii darasani
2. Kuna madaktari wanaandikia dawa ungonjwa haupo ili wauze dawa.
3. Kuna wafamasia wanawabambikia watu dawa zilizoisha muda.
4. Kuna viongizi wanatumia wadhfa wao kuumiza wengine au kwa maslahi binafsi.

Hawa wote ni waovu ila namna wanafanya uovu ni tofauti.

Avoid generalization
polisi wamezid aloo
 
Back
Top Bottom