Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 13,334
- 28,002
Mtoto wangu yoyote yule akija kuwa askari polisi amejifukuzisha mwenyewe kwenye familia.
DuuhMtoto wangu yoyote yule akija kuwa askari polisi amejifukuzisha mwenyewe kwenye familia.
Na dunia ilivyo na mambo mwanao anaweza kuja kuwa askari na akakufunga piaMtoto wangu yoyote yule akija kuwa askari polisi amejifukuzisha mwenyewe kwenye familia.
Acha makasiriko jamaa angu,Mtoto wangu yoyote yule akija kuwa askari polisi amejifukuzisha mwenyewe kwenye familia.
Naunga mkono hoja 🤣😁Na dunia ilivyo na mambo mwanao anaweza kuja kuwa askari na akakufunga pia
Naunga mkono hoja kakaBraza niko pamoja na wewe wale jamaa siyo watu kabisaaa , wana njaa na wana poor reasoning aisee sijawahi ona, wako very biased, wengi ni washamba sana with zero exposure........wako radhi kufanya lolote mbele ya hela
Bora wanajeshi 😂😁Bila kuwasahau wanajeshi!
Wachache sana mkuuKuna Polisi wana ubinadamu sana. BIG UP kwa Polisi Wema wote.
Ushaniudhii😂Bora wanajeshi 😂😁
Watu wa hovyo mno.Braza niko pamoja na wewe wale jamaa siyo watu kabisaaa , wana njaa na wana poor reasoning aisee sijawahi ona, wako very biased, wengi ni washamba sana with zero exposure........wako radhi kufanya lolote mbele ya hela
NI kweli. Lakini hakuna watumishi wanaotumia ofisi/madaraka yao vibaya kama Polisi. Uonevu dhidi ya masikini kwa lengo la kujipatia kipato ndio kazi ya kila siku ya asilimia 90 ya maafisa wa Polisi. Kusingizia watu kesi, kuchukua rushwa bila kujali maumivu ya wengine kwenye jambo husika, wengine mpaka wanaua na kusingizia eti wameua jambazi. Ukipeleka kesi yako genuine na huna pesa au hakuna uwezekano wa kutengeneza pesa kwenye hiyo kesi hakuna askari atajishughulisha nayo. Polisi ni laana kuliko laana yenyewe.Acha makasiriko jamaa angu,
1. Kuna walimu wanaenda shule na hawaingii darasani
2. Kuna madaktari wanaandikia dawa ungonjwa haupo ili wauze dawa.
3. Kuna wafamasia wanawabambikia watu dawa zilizoisha muda.
4. Kuna viongizi wanatumia wadhfa wao kuumiza wengine au kwa maslahi binafsi.
Hawa wote ni waovu ila namna wanafanya uovu ni tofauti.
Avoid generalization
Naunga mkono hojaNI kweli. Lakini hakuna watumishi wanaotumia ofisi/madaraka yao vibaya kama Polisi. Uonevu dhidi ya masikini kwa lengo la kujipatia kipato ndio kazi ya kila siku ya asilimia 90 ya maafisa wa Polisi. Kusingizia watu kesi, kuchukua rushwa bila kujali maumivu ya wengine kwenye jambo husika, wengine mpaka wanaua na kusingizia eti wameua jambazi. Ukipeleka kesi yako genuine na huna pesa au hakuna uwezekano wa kutengeneza pesa kwenye hiyo kesi hakuna askari atajishughulisha nayo. Polisi ni laana kuliko laana yenyewe.