Hakuna urafiki kati ya Askari Polisi na raia. HAKUNA!

Hakuna urafiki kati ya Askari Polisi na raia. HAKUNA!

Nature ya kazi ya polisi imewekewa misingi isiyo na urafiki kuna baadhi ya makosa ukifanya hata huyo rafiki yako polisi anakua hana uwezo wa kukusaidia hata akitaka kukusaidia wala hataweza, ndo pale unaona anakukwepa , kwahiyo usijenge urafiki na polisi ukiamini atakusaidia hilo halipo
Tatizo watu wanashindwa kujua kua ile ni kazi.
Usitegemee sana akusaidie, kuna mambo hata yeye atakukwepa ili asalimike.
 
Back
Top Bottom