Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,772
- 43,352
Wamekufanyaje mkuu maana sio kwa kwa hizi laana 😂😂😂Mtoto wangu yoyote yule akija kuwa askari polisi amejifukuzisha mwenyewe kwenye familia.
Wamekufanyaje mkuu maana sio kwa kwa hizi laana 😂😂😂Mtoto wangu yoyote yule akija kuwa askari polisi amejifukuzisha mwenyewe kwenye familia.
Nishaleta kisa hapawalikubinya wapi..??
Ila wapo waungwana nimewashuhudia wengi tu, kama ilivyo kwa binaadamu yoyote kuna waungwana na washenziBraza niko pamoja na wewe wale jamaa siyo watu kabisaaa , wana njaa na wana poor reasoning aisee sijawahi ona, wako very biased, wengi ni washamba sana with zero exposure........wako radhi kufanya lolote mbele ya hela
Ni wachache sanaIla wapo waungwana nimewashuhudia wengi tu, kama ilivyo kwa binaadamu yoyote kuna waungwana na washenzi
Unaweza kuthibitisha hilo?asilimia 90 ya maafisa wa Polisi.
Haha..Unampa mchongo Askari Askari anampa mwenzake wanakuja kukupiga hela.😂😂😂
😂🤣😁😁😁Haha..
Wanakwambia kabisa kuwa Kituoni kwao unaingia bure ila unatoka kwa MPUNGA hata kama huna kosa
Polee kakaMimi Baba yangu alikuwa polisi lakini alikataa kabisa mtoto wake yeyote kuwa polisi alishanusurika mara kibao kumpiga risasi mkuu wake wa kazi sijui walipishana nn!!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Marehemu Babu yangu R.I.P Hakuwa na usomi wowote Ila alikuaga Ni mwingi wa MAARIFA na AKILI nyingi sanaa..Mtoto wangu yoyote yule akija kuwa askari polisi amejifukuzisha mwenyewe kwenye familia.
Umekutana na dhahamaa ganiNaunga mkono hoja 🤣😁
nipeleke kwenye hicho kisa nikisomeNishaleta kisa hapa
Polee sanaa Mkuu naunga mkono hojaMarehemu Babu yangu R.I.P Hakuwa na usomi wowote Ila alikuaga Ni mwingi wa MAARIFA na AKILI nyingi sanaa..
Ali wai kusema hataki MTU yeyote kwenye ukoo wake aje kua Askari police Kuna brother etu mmoja alikiuka mwiko mwisho wake haukua mzur huko police..
Police Ni watu wafitini wenye uchu wajanja wajanja watu wa dhuluma Sana na wabambikiaji wa kesi na wasaliti wakubwa hii Ni kutokana na maslahi duni ya kazi huwa wanajiongeza..
Penye wengi Kuna mengi ofcourse pia Kuna ma askari police wachache wengine ni wazuri
Nakutagnipeleke kwenye hicho kisa nikisome
Hili kosa lilimwondoa kazini brother angu yeye alimpiga mkuu wake wa kituo wakawekwa lockup WOTE baadae mkubwa akatolewa yeye akakandamizwa lockup kwa mashitaka ya KINIDHAMU baadala ya kuamishwa kazi akasomewa Hukumu ya kijeshi akafukuzwa kwa utovu wa NIDHAMUMimi Baba yangu alikuwa polisi lakini alikataa kabisa mtoto wake yeyote kuwa polisi alishanusurika mara kibao kumpiga risasi mkuu wake wa kazi sijui walipishana nn!!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Polisi hana ushkaji kabisaMarehemu Babu yangu R.I.P Hakuwa na usomi wowote Ila alikuaga Ni mwingi wa MAARIFA na AKILI nyingi sanaa..
Ali wai kusema hataki MTU yeyote kwenye ukoo wake aje kua Askari police Kuna brother etu mmoja alikiuka mwiko mwisho wake haukua mzur huko police..
Police Ni watu wafitini wenye uchu wajanja wajanja watu wa dhuluma Sana na wabambikiaji wa kesi na wasaliti wakubwa hii Ni kutokana na maslahi duni ya kazi huwa wanajiongeza..
Penye wengi Kuna mengi ofcourse pia Kuna ma askari police wachache wengine ni wazuri
Kaka Hawa jamaa nawalaani sanaUmekutana na dhahamaa gani
Na porisi 😄
Ova
Imekuwaje tena wanajeshi.Bila kuwasahau wanajeshi!
Nilisimulia na ulisomaImekuwaje tena wanajeshi.