Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

Mkuu jarbu na na tecno CX camon hii nihabari nuingine ni zaidi ya sumsung uzijuazo kwisha habari yako
 
vipi k9
 
Natumia phatom8 mambo yote byeee siami techno hata common ni nzuri
 
Unashauri nini kwa watumiaji wa Tecno humu ndani?
Ndugu kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake,anayeipenda atumie binafsi naona Tecno imesaidia sana watu wengi kumiliki simu janja tofauti ingekuwa shida
 
Mkuu jarbu na na tecno CX camon hii nihabari nuingine ni zaidi ya sumsung uzijuazo kwisha habari yako
Sumsung ni simu aina gani mkuu? Ila kama unamaanisha Samsung ningependa nikuulize ulishawahi kutumia Samsung original?
 
Tecno ni simu bora kwa makundi mawili tu
1.wenye kipato cha kawaida na cha chini.
2.wenye elimu ya kawaida kuhusu tenolojia,yaani wale ambao wanatazama vitu vichache tu mfano WhatsApp,Facebook,messages kupiga na kupokea pamoja na picha.
 
Tecno inamadhaifu yake ila ina mudu matumizi mengi ya watumiaji kwa bei wanazonunua, watu wanaponda ila kwa soko la Afrika ndio inaongoza ikifuatiwa na Samsung
 
Principle of demand and supply
 
Sijaona ubaya wake, Sana sana wewe ndo nakuona mshamba wa kutumia cm.
Nimetumia miaka na miaka, kama hujui kutumia cm usiseme ni mbovu... pye
Umezoea matatizo kiukweli tecno ni mbovu
 
Usizifie kitu usichojua kam toka uzaliwe umetumia tecno tumia hizo hiz ndo saiz yako kwa upeo wa mawazo yakk utaziona za maan wauliz wanaozielewa simu hata hao wanaoouza madukan humkut anatumia tecno najuta kuingizwa mkenge
Uliihalibu mwenyewe bhana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…