hata mimi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,356
- 1,447
Tutake radhi Mkuu,TeCno simu ya walimu
Tengua kauli yako!
Tutake radhi Mkuu,TeCno simu ya walimu
HahahaHongera ndugu yangu mi Tecno hata ukinipa bure naweza sahau hata kusema asante

Mkuu unamtukana shemeji yangu ni mwalimuTeCno simu ya walimu
HahahahahahahaHii ilikuwa pale Posta, kulikuwa na ufunguzi wa duka la Tecno na mgeni rasmi alikuwa Naibu waziri wa ujenzi na uchukuzi na endapo ukanunua simu yoyote unapewa zawadi.
Kulikuwa na wachina wengi sana ila cha kushangaza KATI YA HAO WACHINA AMBAO NDO MAAFISA WA TECNO SIKU HIYO HAKUNA HATA MMOJA ALIYEKUWA AKITUMIA TECNO, WOTE NI IPHONE NA SAMSUNG.
USHAHIDI HUU HAPA KWA BAADHI YAO.View attachment 734354
Huwezi amini, wakati nasimama pale nikawaambia watanzania wenzangu mbona hawa wenyewe hawatumii hizo tecno? Yaani bora wangekuwa nazo hata kwa ajili ya kuzugia tu ingetosha aiseee.Hahahahahahaha
Halaf wanauzia watu tecno
Lakini hiyo Tecno una ichukua?Hongera ndugu yangu mi Tecno hata ukinipa bure naweza sahau hata kusema asante
Ndiyo jeLakini hiyo Tecno una ichukua?
Nina mashaka na RAM zake..Inategemea na matumizi yako mkuu...Kama wewe ni mtu wa kupiga , kupokea simu , Watsaap, Instagram na youtube Tecno sio mbaya saana as long as Speed na power sio issue saaana kwako.
Ila kama una matumizi mazito zaidi ya hapo yaani Games , Detailed photo shoot, kutumia App nyingi kwenye background kwa muda mmoja na matumizi mengine as long as speed na power kwako ni muhimu bhac Tecno haikufahi.
Na kwa hiyo biashara ya k7 (spark) na J3 hapo kweli uliingia mkenge , Atleast ungebadilishana na Camon Cx japo Tecno tecno tu![]()
Shida sio Ram tu ndugu...unachotakiwa kuhofia ni Chipset zake za mtk...Zile ndio zinazofanya simu iwe slow au fast in terms of speed and power.Nina mashaka na RAM zake..
Ndio maana kuna mkuu akagusia hushangai Maboss wa Tecno wanatumia Brand kubwa wakati sisi wanatuuzia Tecno .Nina mashaka na RAM zake..
.... Brand kubwa nyingi zina chip set za Snap dragon au exynos au Kirin ambazo ziko Fast.





Sijui,ila kuna jamaa yangu alikuwa na C9 ilikuwa ina stuck na kuzima aliamua kuifanyia factory reset ndio imekuwa suluhu otherwise hali ilikuwa mbaya kwa simu yake,nahisi hizi simu unapokuwa na application nyingi zinaelemewa,inawezekana kweli kama alivyosema j wara hapo juu kuwa chipsets zake ni majanga..Tecno Cx kavu na tecno phantom 6 ndio tecno bora pia c9 inaubora sana hzo nyngne kuna malalamiko mengi sana
Unatumia Tecno ya aina gani mkuu?Mimi yangu ina ugonjwa wa kupoteza majina kwenye phonebook