Hakuna redio inaomba sadaka kama Upendo FM

Hakuna redio inaomba sadaka kama Upendo FM

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,369
Aisee hii redio kila kipindi wanaomba sadaka, anatoka huyu mtangazaji akiingia mwingine ni kutaja namba za M-Pesa, mahubiri yao ni sadaka tu kila saa kuchangia sadaka.

Wanaanzishaje redio kwa kutegemea sadaka tu .
 
Hata hapo naona umewapa "hadhi" fulani!
Kusema "wanaomba sadaka" hapo unajaribu kuficha ukweli!
Hao jamaa ni wezi, ni kama wezi wengine.
Wanatumia kulaghai na kuwapumbaza watu kuwa mungu atawazidishia mara dufu!
Hawana tofauti na wale jamaa wa "Ile hela itume kwenye namba hii"

Staki shobo na mfia dini!
 
Mkuu sometimes heri mara moja moja ,hawa majamaa kila kipindi ,kila mtangazaji ,na siku zote ni kuhitaji sadaka
Hata hapo naona umewapa "hadhi" fulani!
Kusema "wanaomba sadaka" hapo unajaribu kuficha ukweli!
Hao jamaa ni wezi, ni kama wezi wengine.
Wanatumia kulaghai na kuwapumbaza watu kuwa mungu atawazidishia mara dufu!
Hawana tofauti na wale jamaa wa "Ile hela itume kwenye namba hii"

Staki shobo na mfia dini!
 
Tuta kula wapi tusipo waomba
naijatwittersavages-20190706-0002.jpg

sijui itakuaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom