Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,803
- 38,854
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna mzee wangu mmoja alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya DMP, aliwafokea kwenye kikao kwamba inakuwa kama siyo redio ya kanisa.Kuchangia Radio sio jambo baya isipo haiendeshwi kikanisa watangazaji ni wahuni tu
Vipindi vibovu hakuna mpangilio mzuri
Matangazo ya biashara ni mengi wakati mwingine unafikiri sio radio ya injili
Upendo Radio Rekebisheni mpangilio mzima Tunachangia kusikiliza Neno la Mungu au Injili kwa kupitia Mahubiri Ibada Nyimbo. Kipindi cha salamu hakina mshiko
Ongezeni vipindi vya maombi
Matangazo ya biashara yatangazwe kwa utaratibu mzuri sio kupayuka na kuongea harakaka kama mashine za kukoboa na kusaga
Watangazaji wawe wenye upako sio wahuni tu
Radio Maria wako vizuri wanazungumza kwa upole na upendo ninyi ni kelele tuu
Sent using Jamii Forums mobile app