John Doe Kellerman
Member
- Nov 27, 2019
- 75
- 116
MremboooWaache na mambo yao maana hizo sadaka hajalazimishwa mtu yoyote kutuma
MremboooWaache na mambo yao maana hizo sadaka hajalazimishwa mtu yoyote kutuma
TB - Siiiii
Je uliwahi kuwasikia upendo radio wanaongelea kuhusu kuuza maji ya upako au chochote kinachofanana na hicho?? Usitoe tuhuma za jumla!!hata mitume walienda kufanya kazi ikiwapo uvuvi, ushonaji maturubai n.k
hamna mahali mtu anaenda mbinguni kwa kutoa sadaka.Na sadaka siyo kupeleka tu makanisani, bali hata kuwapa maskini au wenye shida jambo ambalo makanisa yenu ya vodafasta hayasemi
mnahimiza waumini wanunue stika wabandike milangoni na kwny vyombo vyao vya moto na maji ya ai mafute viwalinde, wakt wachungaji wanalindwa na walinzi..
Ukweli ni mmoja tu, sasa hivi mnatumia makanisa kama njia ya kujipatia vipato visivyo halali. Hamuoni aibu mchungaji tangu anavaa skuna nyeupe, hadi ananunua vogue lakn bado anakamua watu maskini pengine hata mlo mmoja kwao ni shida.
angalia vizuri sijamtusi mtu ,nimemuelezea tuSasa kama unamtusi Mungu gani unamtumikia na hayo matusi
Je uliwahi kuwasikia upendo radio wanaongelea kuhusu kuuza maji ya upako au chochote kinachofanana na hicho?? Usitoe tuhuma za jumla!!
Mkuu the way wanavyoiendesha radio Maria hawajatarget kufanya biashara ndo mana hawana matangazo ya kibiashara mengi.Wew acha hizo unaijua radio maria ww au unaongea tu
Wanaomba hatari mpaka 100 wanaitka Alafu ni kila mwaka kwa ajili ya kulipia leseni ml 68
So kuomba omba hakuishi
Mm wanachonishangaza kama hawana pesa ya kulipia hiyo radio siwaifunge tu kuliko kusumbua wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hulazimishwi kuchangia radio ya mama,hiyo ni hiari yako.Hawaishindi Redio Maria,wameacha kuhubili neno la Mungu wamekuwa watoza ushuru muda wote,hadi wanakela sisi waumini wao.
For your information radio inasonga mbele.Tena kama redio maria kuna kuna muda wa kusoma sms za m pesa tu kutoka kwa wateja waliotuma
Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆😆😆Aisee hii redio kila kipindi wanaomba sadaka, anatoka huyu mtangazaji akiingia mwingine ni kutaja namba za M-Pesa, mahubiri yao ni sadaka tu kila saa kuchangia sadaka.
Wanaanzishaje redio kwa kutegemea sadaka tu .
Mkuu sikiliza utajionea..Mkuu acha utani[emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]basi waibaidili jina waiite sadaka fm na jingle kuu iwe upendo ni sadaka. just kidding
Ya wahehe hyo
Mkuu the way wanavyoiendesha radio Maria hawajatarget kufanya biashara ndo mana hawana matangazo ya kibiashara mengi.
Lengo lao ni kutangaza neno la Mungu na ndio maana hawapigi nyimbo za bongo fleva e.t c.
Kutoa ni moyo sio utajiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
M mwenyewe n msikilizaj mzur ila suala lako umeongeza na yako,anyway radio n nying mno chagua inayokufaa
Sent using Jamii Forums mobile app