Hakuna ngumu kama kuacha Pombe

Hakuna ngumu kama kuacha Pombe

Suala LA pombe mkuu acha kabisa kuacha ni next to impocibble Mimi nimeamua tu kuishi nayo kama corona na ninajitahidi sana nisiingie kwenye starehe nyingine maana nimeona ugumu wa kutoka kwenye pombe
Bildrago Carlos teja...nampenda sana huyu mzee

Mpaka braza angu anamuiga ongea yake
 
Kuna mshikaji wangu mmoja alifanyaga yote hayo... Akaacha kabisa.
Hata tukikutana company hagusi kabisa.. Nikamuheshimu kinoma hadi nikaanza kumuonea wivu.

Siku ya Siku nikamkuta kalewa..weekend saa sita mchana.

Nilicheka kisen...

Kuacha kazi asikwambie mtu
 
Wazima jamani?

Katika maisha kuna mambo mbalimbali yanayompa mwanadamu burudani. Mambo hayo Ni Kama pombe, music, soccer, wanawake (madem), story n.k. Ila usiombe kuzoea pombe iwe kama kiburudisho chako inatesa sana utaacha Kama huna pesa lakini ukipata lazima ukazimue kidogo.

Ila natamani kuacha make naona inanikera sana. Sema stress za maisha zinanifanya niendelee kulewa tu. Nakumbuka Kuna siku niliishiwa nikajaribu kunywa Gongo aisee nilishindwa kabisaa. Nikasema ngoja nitafute pesa ili niendelee kupiga Konyagi na K Vant

Inategemea mkuu...mie nimeacha pombe mwaka wa 8 huu.
Sio rahisi, ila inawezekana kabisa.
 
Pombe ilichonifanya tarehe 18 juzi nafikiria kuacha nmepoteza simu nmeanza kupigana wakati Mimi sio mgomvi nafikiria kuacha imenitia hasara sana
 
Pombe ilichonifanya tarehe 18 juzi nafikiria kuacha nmepoteza simu nmeanza kupigana wakati Mimi sio mgomvi nafikiria kuacha imenitia hasara sana
pole mkuu mimi hata saizi ni lewejee sipiganiii kwanza mwili ume pungua,kweliii
 
Hakuna uchawi mbaya kama kunywa pombe kupitiliza na usingizi katika maendeleo ya mwanadamu yeyoteee....
Ukiweza kuviepuka hivi utafanikiwa sanaaa
 
Wazima jamani?

Katika maisha kuna mambo mbalimbali yanayompa mwanadamu burudani. Mambo hayo Ni Kama pombe, music, soccer, wanawake (madem), story n.k. Ila usiombe kuzoea pombe iwe kama kiburudisho chako inatesa sana utaacha Kama huna pesa lakini ukipata lazima ukazimue kidogo.

Ila natamani kuacha make naona inanikera sana. Sema stress za maisha zinanifanya niendelee kulewa tu. Nakumbuka Kuna siku niliishiwa nikajaribu kunywa Gongo aisee nilishindwa kabisaa. Nikasema ngoja nitafute pesa ili niendelee kupiga Konyagi na K Vant
Mimi kuna siku nilijaribu kuacha pombe nikafariki dunia. Asante!
 
Unaacha pombe ili ugundue nini hakuna kitu napenda kama pombe,kuacha sishindwi mpaka kuwe na sababu
 
Kuna mshikaji wangu mmoja alifanyaga yote hayo... Akaacha kabisa.
Hata tukikutana company hagusi kabisa.. Nikamuheshimu kinoma hadi nikaanza kumuonea wivu.

Siku ya Siku nikamkuta kalewa..weekend saa sita mchana.

Nilicheka kisen...
kajitutumuaaa akachemka
 
Mkuu nmepigana Vibaya mno na wanakijiji Mungu aliniokoa pale ningekuwa marehemu
Hahahaha mkuu nilisha pigana,mpaka nikapata demu usiku huoo huooo....

Sema mwilii ulikuwa na nguvuu ila banana ndo zilii vunjaa kila kituuu na virobaa.

Kuna siku wange niuwaaa sema sikuwa na makuu maana nilikuwa najua ku control pombee
 
Kitu kigumu kuacha ni kupiga Punyeto tu.!
Ile ukianza huachi.! Ndio maana kuna baadhi ya wazee mpaka serikalini unaweza ukashangaa nao wanapigaga
 
Out of topic mi nataka kuacha kubet aseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom