Ndekrepha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 1,506
- 2,664
Kama hujawahi usiguse nakushauri ingawa mi ni mnywaji napambana na kuacha now
Sijawahi kujaribu. Ndio nataka nionje kwa sasa.
Kama hujawahi usiguse nakushauri ingawa mi ni mnywaji napambana na kuacha now
Hahaha, hii inatokea kwa watu wengi sana, ishawahi kumtokea jamaa yangu pia baada ya muda tupo sehemu anaagiza chupa, jamaa anakwambia pombe hauachi unasimama kwa muda.Kuna mshikaji wangu mmoja alifanyaga yote hayo... Akaacha kabisa.
Hata tukikutana company hagusi kabisa.. Nikamuheshimu kinoma hadi nikaanza kumuonea wivu.
Siku ya Siku nikamkuta kalewa..weekend saa sita mchana.
Nilicheka kisen...
Uliwezaje....I guess hukuwa unapata faida sanaKubet mi niliachaga kabsaa
Ku bet ni kitu rahisi sana sija waii onaaa. Mimi mpaka leoo sina hat,mzukaaaMi kila nikitaka kuacha kubet nafsi inanisuta narudia tena![]()
Haha haya kama ushaweka nia, karibu chamani.Sijawahi kujaribu. Ndio nataka nionje kwa sasa.
Aisee.Wazima jamani?
Katika maisha kuna mambo mbalimbali yanayompa mwanadamu burudani. Mambo hayo Ni Kama pombe, music, soccer, wanawake (madem), story n.k. Ila usiombe kuzoea pombe iwe kama kiburudisho chako inatesa sana utaacha Kama huna pesa lakini ukipata lazima ukazimue kidogo.
Ila natamani kuacha make naona inanikera sana. Sema stress za maisha zinanifanya niendelee kulewa tu. Nakumbuka Kuna siku niliishiwa nikajaribu kunywa Gongo aisee nilishindwa kabisaa. Nikasema ngoja nitafute pesa ili niendelee kupiga Konyagi na K Vant
Haisimuliwi hiyo, jaribu utakuja na ushuhudaKwanini mkuu