Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Au ningesema mwambaDaah niliingia mkenge hii sentensi kumbe ulimaanisha Shoga yako.
Au ningesema mwambaDaah niliingia mkenge hii sentensi kumbe ulimaanisha Shoga yako.
Au ningesema mwamba?Daah niliingia mkenge hii sentensi kumbe ulimaanisha Shoga yako.
Ama kwaharaka mtu anadhani umemwita marehemu Umomi shoga akiendelea kusoma ndio anaelewa.Au ningesema mwamba?
Nafikisha MIEZ miwili SIJABWIA POMBE,NATAKA NIFIKE HADI DISEMBA SIJAPIGA HATA UCHUPA MMOJA...Kuacha jf ndo mtihani mgumu.
Au wenzangu mnasemaje?
Kiongoz we ulikua unavuta sigara za kimataifa kabisaaaa,nafikiri sigara ngumu kuacha in hizi za being chee sm na sportsman,sigara Kali nk.Ni kujicontrol tu. Mimi nimeacha tena nilikuwa napiga Embassy kabisa
Ni kweli mkuu, embassy ukipiga 3 tu unakuwa vizuriKiongoz we ulikua unavuta sigara za kimataifa kabisaaaa,nafikiri sigara ngumu kuacha in hizi za being chee sm na sportsman,sigara Kali nk.
Yan hizo MTU anaweza maliza pakit moja na nusu kwa simu na bado akawa anagongea kwa washkaji zake
Mkuu vp bado ujafanikiwa kuacha.?!Kuacha sigara ndo shida; ukiona mwenzio anavuta tu tunagongea na tulivyo wavutaji hatunyimiani, tumekubali tufe wote.
Comment ya kitoto..NJOO KWA YESU UTOKE KWENYE UTUMWA WA DHAMBI.
Jesus is Lord!
Zote nilikua naona hazina ladha zaidi ya CLUBMimi nikipiga embassy zangu tatu na bia zangu nne siku yangu inakwenda fresh kabisa
Huyo siasa zimemchanganyaComment ya kitoto..
Sa embassy ndo una ona ni nomaNi kujicontrol tu. Mimi nimeacha tena nilikuwa napiga Embassy kabisa
Ulimpa ushauri mzuri!Si pombe pekee..kitu chochote ulichokiwekea mazoea kwenye matumizi ni ngumu kukiacha...jitahidi tu Anza kupunguza idadi uliyoizoea.. utaacha tu..mdogo mdogo
Nyeto nyepesi sana sema unaipa uzito mkubwa sanaMkuu unaijua NYETO wewe!!!?
Hile kitu ilinipa shida sana enzi hizo maana hata kama huna pesa stimu zikija tu wayaa!!!!
kitu sportsmanKiongoz we ulikua unavuta sigara za kimataifa kabisaaaa,nafikiri sigara ngumu kuacha in hizi za being chee sm na sportsman,sigara Kali nk.
Yan hizo MTU anaweza maliza pakit moja na nusu kwa simu na bado akawa anagongea kwa washkaji zake
Safi sanaMimi nikipiga embassy zangu tatu na bia zangu nne siku yangu inakwenda fresh kabisa