Hakuna ngumu kama kuacha Pombe

Umomi

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
677
983
Wazima jamani?

Katika maisha kuna mambo mbalimbali yanayompa mwanadamu burudani. Mambo hayo Ni Kama pombe, music, soccer, wanawake (madem), story n.k. Ila usiombe kuzoea pombe iwe kama kiburudisho chako inatesa sana utaacha Kama huna pesa lakini ukipata lazima ukazimue kidogo.

Ila natamani kuacha make naona inanikera sana. Sema stress za maisha zinanifanya niendelee kulewa tu. Nakumbuka Kuna siku niliishiwa nikajaribu kunywa Gongo aisee nilishindwa kabisaa. Nikasema ngoja nitafute pesa ili niendelee kupiga Konyagi na K Vant
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom