Blackninja
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 380
- 322
Sigara ni ngumu jmn sijui ata nifanyeje niache
Kweli kuna ulazima wa kuacha kabisa! Hata mimi nikinywa huwa kesho yake najisikia vibaya sana - kwamba hiyo hela ningeweza kuwanunulia watoto vitabu au hata kuitunza kwa emergency After all, wife hataki ninywe maana anadai inamkera ile mbaya. Jana nilikunywa, lakini leo asubuhi kama kawaida nilianza kutafakari na nikapata wazo niachane nayo au for good au mpaka hapo nitakapokuwa na 'akiba ya kutosha' na siyo kufanya mazoea hata kama huna cash muda huo mwenye baa kwa vile anakuamini anakwambia 'hamna shida utalipa siku nyingine'. Naona pia ni namna ya kutunza afya.Wazima jamani?
Katika maisha kuna mambo mbalimbali yanayompa mwanadamu burudani. Mambo hayo Ni Kama pombe, music, soccer, wanawake (madem), story n.k. Ila usiombe kuzoea pombe iwe kama kiburudisho chako inatesa sana utaacha Kama huna pesa lakini ukipata lazima ukazimue kidogo.
Ila natamani kuacha make naona inanikera sana. Sema stress za maisha zinanifanya niendelee kulewa tu. Nakumbuka Kuna siku niliishiwa nikajaribu kunywa Gongo aisee nilishindwa kabisaa. Nikasema ngoja nitafute pesa ili niendelee kupiga Konyagi na K Vant
Suala LA pombe mkuu acha kabisa kuacha ni next to impocibble Mimi nimeamua tu kuishi nayo kama corona na ninajitahidi sana nisiingie kwenye starehe nyingine maana nimeona ugumu wa kutoka kwenye pombeKweli kuna ulazima wa kuacha kabisa! Hata mimi nikinywa huwa kesho yake najisikia vibaya sana - kwamba hiyo hela ningeweza kuwanunulia watoto vitabu au hata kuitunza kwa emergency After all, wife hataki ninywe maana anadai inamkera ile mbaya. Jana nilikunywa, lakini leo asubuhi kama kawaida nilianza kutafakari na nikapata wazo niachane nayo au for good au mpaka hapo nitakapokuwa na 'akiba ya kutosha' na siyo kufanya mazoea hata kama huna cash muda huo mwenye baa kwa vile anakuamini anakwambia 'hamna shida utalipa siku nyingine'. Naona pia ni namna ya kutunza afya.
Mimi huwa nikiamua naacha, nakaa mpaka miaka miwili bila kunywa pombe.Wazima jamani?
Katika maisha kuna mambo mbalimbali yanayompa mwanadamu burudani. Mambo hayo Ni Kama pombe, music, soccer, wanawake (madem), story n.k. Ila usiombe kuzoea pombe iwe kama kiburudisho chako inatesa sana utaacha Kama huna pesa lakini ukipata lazima ukazimue kidogo.
Ila natamani kuacha make naona inanikera sana. Sema stress za maisha zinanifanya niendelee kulewa tu. Nakumbuka Kuna siku niliishiwa nikajaribu kunywa Gongo aisee nilishindwa kabisaa. Nikasema ngoja nitafute pesa ili niendelee kupiga Konyagi na K Vant
Sigara ndo rahisi mi naona maana mimi nilifanikiwa baada ys kuona mateso yana zidiii kwa kiwango kikubwaa. KIU kila dakikapombe ni rahisi kuacha ila sigara asikwambie m2
Jaribu ku msikiliza wifee. Ila sametime pombe inasaidia kukupa mzuka wa furaha na kuliwaza mawili matatu ila kama una familia na bado changaa wewe una nafasi kubwa sana ya kuachaa.Kweli kuna ulazima wa kuacha kabisa! Hata mimi nikinywa huwa kesho yake najisikia vibaya sana - kwamba hiyo hela ningeweza kuwanunulia watoto vitabu au hata kuitunza kwa emergency After all, wife hataki ninywe maana anadai inamkera ile mbaya. Jana nilikunywa, lakini leo asubuhi kama kawaida nilianza kutafakari na nikapata wazo niachane nayo au for good au mpaka hapo nitakapokuwa na 'akiba ya kutosha' na siyo kufanya mazoea hata kama huna cash muda huo mwenye baa kwa vile anakuamini anakwambia 'hamna shida utalipa siku nyingine'. Naona pia ni namna ya kutunza afya.
Yaani ata Mimi hii ya kuacha mitungi in nitesa yaani nikivumilia Sana ni siku mojaWazima jamani?
Katika maisha kuna mambo mbalimbali yanayompa mwanadamu burudani. Mambo hayo Ni Kama pombe, music, soccer, wanawake (madem), story n.k. Ila usiombe kuzoea pombe iwe kama kiburudisho chako inatesa sana utaacha Kama huna pesa lakini ukipata lazima ukazimue kidogo.
Ila natamani kuacha make naona inanikera sana. Sema stress za maisha zinanifanya niendelee kulewa tu. Nakumbuka Kuna siku niliishiwa nikajaribu kunywa Gongo aisee nilishindwa kabisaa. Nikasema ngoja nitafute pesa ili niendelee kupiga Konyagi na K Vant
Hauna tofauti na mimi huwa najutia sana pesa yangu lakini hangover ikiisha najipelekea mwenyewe bil shurti.Kweli kuna ulazima wa kuacha kabisa! Hata mimi nikinywa huwa kesho yake najisikia vibaya sana - kwamba hiyo hela ningeweza kuwanunulia watoto vitabu au hata kuitunza kwa emergency After all, wife hataki ninywe maana anadai inamkera ile mbaya. Jana nilikunywa, lakini leo asubuhi kama kawaida nilianza kutafakari na nikapata wazo niachane nayo au for good au mpaka hapo nitakapokuwa na 'akiba ya kutosha' na siyo kufanya mazoea hata kama huna cash muda huo mwenye baa kwa vile anakuamini anakwambia 'hamna shida utalipa siku nyingine'. Naona pia ni namna ya kutunza afya.
Ila mara nyingi nikinywa maji mengi, huwa sina hamu sana ya pombe kuliko kama sijanywa maji kabisa.Hauna tofauti na mimi huwa najutia sana pesa yangu lakini hangover ikiisha najipelekea mwenyewe bil shurti.
Upo sahihi vile vitu ambavyo uhitaji wake ni kutokana na matumizi ya mazoea kuviacha ni ngumu. They need a heartly denying and stop thinking about them na ikiwezekana kujiweka mbali kabisa na mazingira ya kuvipata hivyo vitu.Si pombe pekee..kitu chochote ulichokiwekea mazoea kwenye matumizi ni ngumu kukiacha...jitahidi tu Anza kupunguza idadi uliyoizoea.. utaacha tu..mdogo mdogo
Kama hujawahi usiguse nakushauri ingawa mi ni mnywaji napambana na kuacha nowNataka siku moja nijaribu kunywa pombe...
Haa hahaa haaJaribu kukaa siku 66 bila kunywa ukiweza imetoka hiyo, kwa upande wangu nilijaribu sikumaliza week mbili nikarudi tena kwa kasi ya ajabu. Kama una ndugu hawakupendi au mna mgogoro unaweza kuhisi umefanyinywa figisu kumbe wap. Nimepanga nijaribu tena kuanzia mwezi wa nane.
Ukweli mtupuUpo sahihi vile vitu ambavyo uhitaji wake ni kutokana na matumizi ya mazoea kuviacha ni ngumu. They need a heartly denying and stop thinking about them na ikiwezekana kujiweka mbali kabisa na mazingira ya kuvipata hivyo vitu.
Tatizo wengi wanaacha mpaka doctor ashauri baada ya kupata tatizo lililosababishwa na over consumption ya hiko kitu which is too bad.
Kuna mshikaji wangu mmoja alifanyaga yote hayo... Akaacha kabisa.Mbona rahisi unachofanya ni kubadilicha ratiba tu, muda umaolewa menda uwanjani kacheze, badilisha mazingira, badilisha kampani, marafiki, piga kazi zinazochukua mda mrefu ili ucpate mda wa kwenda rabuka uwezi kuacha ghafla ila unaanza kupunguza kiwango, mfaano unawza kupunguza bia moja kila mwez, ili kufikia miez 6 au mwaka uwe umeacha kabisa.
Njia nyingine unaweka intavoo ya kunywa mfaano mara moja kwa wiki mwezi wa kwanza, mara moja kwa wiki 2 mwezi wa pili, mara moja kwa mwezi wa 3.
Hapa nilipo mi nakaaga miezi 3 nisisikie kiu kabisa wakati 2010 tu apo nilikua nashinda kilabuni
Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app