Ila mi naonaga kwenye vitu vibaya tu ndo kuviacha ni vigumuSi pombe pekee..kitu chochote ulichokiwekea mazoea kwenye matumizi ni ngumu kukiacha...jitahidi tu Anza kupunguza idadi uliyoizoea.. utaacha tu..mdogo mdogo
Vere truu..alafu vibaya ndivyo vinaraha Sasa.Ila mi naonaga kwenye vitu vibaya tu ndo kuviacha ni vigumu
Nyeto dawa yake ni kuoa tuHuyu aijui punyeto huyu.......haijavunjwa record yake....
Huwez kuiacha hata upewe papuch mpya kila siku
Mweee!

Yaan mpaka nashindwa kuamua sasaVere truu..alafu vibaya ndivyo vinaraha Sasa.




NJOO KWA YESU UTOKE KWENYE UTUMWA WA DHAMBI.
Jesus is Lord!




Huyu aijui punyeto huyu.......haijavunjwa record yake....
Huwez kuiacha hata upewe papuch mpya kila siku


Nyeto dawa yake ni kuoa tu
Mkuu mimi nilisema nimeacha baada ya kuka miaka 4 ila nikipata fungu kubwa lazima nikanyweee tena ile fukia mbwaaaWazima jamani?
Katika maisha kuna mambo mbalimbali yanayompa mwanadamu burudani. Mambo hayo Ni Kama pombe, music, soccer, wanawake (madem), story n.k. Ila usiombe kuzoea pombe iwe kama kiburudisho chako inatesa sana utaacha Kama huna pesa lakini ukipata lazima ukazimue kidogo.
Ila natamani kuacha make naona inanikera sana. Sema stress za maisha zinanifanya niendelee kulewa tu. Nakumbuka Kuna siku niliishiwa nikajaribu kunywa Gongo aisee nilishindwa kabisaa. Nikasema ngoja nitafute pesa ili niendelee kupiga Konyagi na K Vant