Mokobe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2020
- 1,249
- 1,562
Ni kujicontrol tu. Mimi nimeacha tena nilikuwa napiga Embassy kabisa
Ni kujicontrol tu. Mimi nimeacha tena nilikuwa napiga Embassy kabisa
mkuu tips kidogo tafadhali uliwezaje kuachaNi kujicontrol tu. Mimi nimeacha tena nilikuwa napiga Embassy kabisa
Kuacha kuto ni rahisi na kuacha pombe ni rahisi zaidiKuacha kuto...na kuacha pombe kipi kigumu?
Au sioKuacha kuto ni rahisi na kuacha pombe ni rahisi zaidi
Au sioKuacha kuto ni rahisi na kuacha pombe ni rahisi zaidi
EwaaaKuacha jf ndo mtihani mgumu.
Au wenzangu mnasemaje?
sigara zinalewesha na zenyewe kama k vant au bia?? au zina niniKuacha sigara ndo shida; ukiona mwenzio anavuta tu tunagongea na tulivyo wavutaji hatunyimiani, tumekubali tufe wote.