Sana mkuumwamba kwaheli. Umepitia mateso na machungu mengi.
Ujaona ulivyotukanwa kule.Ulale mahala pema peponi mkuu😭😭
Haaaaa Haaaaa 😂 Ina mana mimi ndo nilimshauri ajiueUjaona ulivyotukanwa kule.
Wewe ni mnafiki sana, nilikugundua kwenye ule Uzi wa Mshana Jr kuhusu kifo cha yule Dada aliyeuliwa na mumeweUlale mahala pema peponi mkuu![]()
100✔️Kuacha jf ndo mtihani mgumu.
Au wenzangu mnasemaje?
Wazima jamani?
Katika maisha kuna mambo mbalimbali yanayompa mwanadamu burudani. Mambo hayo Ni Kama pombe, music, soccer, wanawake (madem), story n.k. Ila usiombe kuzoea pombe iwe kama kiburudisho chako inatesa sana utaacha Kama huna pesa lakini ukipata lazima ukazimue kidogo.
Ila natamani kuacha make naona inanikera sana. Sema stress za maisha zinanifanya niendelee kulewa tu. Nakumbuka Kuna siku niliishiwa nikajaribu kunywa Gongo aisee nilishindwa kabisaa. Nikasema ngoja nitafute pesa ili niendelee kupiga Konyagi na K Vant
But someone said the man is deadMkuu I don't care, usitake wote tufanane mawazo moja, hata katiba inaruhusu kila mtu ana right of speech,
But someone said the man is dead
Yupo hai wakuu, alikuwa anatumia Id mbili kabaki na moja
Shoga huyu dogo yuko hai...amini hivyoUlale mahala pema peponi mkuu😭😭
Shoga huyu dogo yuko hai...amini hivyo
[/QUOTE
Ndio best kuna mtu humu kaulizia kama kuna dent kafariki kuambiwa hakuna ila Kuna mmoja alipata ajali Jana a kafariki na alikuwa mwaka wa kwanza,
Mleta mada alikuwa na id mbili, mwishoni kaambiwa athibitishe akapotea
Nilishindwa kula Jana..nikalala njaa. Shenzi zakeNdio best kuna mtu humu kaulizia kama kuna dent kafariki kuambiwa hakuna ila Kuna mmoja alipata ajali Jana a kafariki na alikuwa mwaka wa kwanza,
Mleta mada alikuwa na id mbili, mwishoni kaambiwa athibitishe akapotea
Endelea kugonga,hiyo ndiyo faida ya pombeNataman sana kuacha..Tatzo mm nikipiga ndo huwa napata mishe za hela.. sasa sjui kipi ni kipi
Kuacha sigara ndo shida; ukiona mwenzio anavuta tu tunagongea na tulivyo wavutaji hatunyimiani, tumekubali tufe wote.
hapo ni kaaaaaazi kwelikweli... 😁 😁 😁 😁Napunyeto man
TrueKhaaaa🤣🤣🤣 umomi mshenz sana
Daah niliingia mkenge hii sentensi kumbe ulimaanisha Shoga yako.Shoga huyu dogo yuko hai...amini hivyo