Hakuna ukweli wowote badala yake kinyume chake ni sahihi! Nchi zote za kiafrika zilifanya mabadiliko ya vyama ili kupata uhuru na kuleta maendeleo hadi hapo zilipo leo...nchi za ulaya zote zinabadili vyama hazipiti miaka kumi na tano chama kimoja madarakani na ndo zilizoendelea kuliko zote, kanuni za utawala hata leo weka mkuu wa mkoa mmoja tusema Lindi kwa miaka 50 uone itakavyokuwa, acha kampuni ya airtel na CEO yule yule kwa miaka 50 uone ataishiwa sera na kubaki anajiona katika mafanikio ya miaka yake 10 20 ya kwanza na kukuta amepitwa na wakati. Kenya wameshajenga uchumi wa kati pamoja na kubadili vyama. Swaziland hawabadili chama wanamtegemea Mswati hadi atakapokufa na wanaishi kwa kutegemea Afrika ya Kusini tu....chunguza tena na utaona katika utawala kubadili kituo cha kazi na kupata changamoto mpya vinakupa akili ya kusonga mbele vema zaidi kuliko kubaki na mawazo mgando kuwa nisingekuwa mimi tusingefika hapa tulipo kisha tukasahau tunakopaswa kwenda...kuwa na Dar inayozidi New York...inawezekana maana hata wao walipakuta ni porini wakapasafisha na kupaweka palivyo leohuhuhu.....ni kweli mkuu lakini sisiemu mbona mmechelesha maendeleo???? hizi nchi zote tulikuwa sawa wakati tunapata uhuru hata nyingine kama s.Africa tuliisaidia kupata uhuru.... sasa sisiem miaka 50 bado tuwape muda?????? no you must leave!!!
Mstakabali wa maendeleo ni sera ya taifa na uongozi uliojizatiti kuleta maendeleo ya kweli kwa kupiga vita rushwa. Hakuna "mla rushwa anayejulikana" au "kushukiwa" ambaye hupewa madaraka. (NO TOLERANCE RULE). Watu watampenda na kumheshimu kama binadamu lakini hawawezi kumpa dhamana. imetokea nchi nyingi zenye demokrasi ya kweli na zilizoendelea na mtihani huu Tanzania itaufanya mwezi October! Tujikumbushe tu kwamba kwenye nchi zenye democrasy iliyoendelea mtu akigundulika ana nyumba ndogo au alidanganya kitu fulani hiyo tayari ni dosari tosha kumnyima dhamana ya uongozi wa umma. Sisi tunachekelea tu na kushangilia mapungufu yote ya "Team Yetu" lakini sio ya "Team Yao" bora tu kiongozi badala ya kiongozi bora!. Matokeo ya October yatawapa sura wafadhili wetu na nchi za nje kwamba tuna dhamira ya kweli au ni wababishaji tu!! Kila la heri kwenye safari ya matumaini ya taifa nas si matumaini ya mtu binafsi!!!
Reality on ground!!! if you don't like the word wafadhili (donors) how about calling them development partners. Hata wachina wamewakopesha wamarekani $1.7Tr. na wanakaribia miaka karibu mia mbili hamsini baada ya uhuru.Akili gani hii miaka 54 ya uhuru bado watu wanazugumzia wafadhili???! we are not serious at all!
Narudia tena kama nilivyowaambia pia wenzako hapo juu nimesema nchi iliyoeendelea nimetumia ,,nchi iliyoendelea" sasa Kenya ni nchi iliyoendelea?
Kenya Je? ama unajitia upofu kuona jirani yetu uchumi upo juu baada ya kuondoa chama tawala?? kiliporudi kikawa na nidhamu
Vipi Marekani, Uingereza na Ujerumani? . Narrow minded.
America je?
Nisome vizuri tena kama ukipenda nimesema hakuna nchi iliyoendelea leo hii ambayo iliwahi kubadilisha Chama, sasa Kenya ni nchi iliyoendelea?
Umekariri, ukiona chama hakiondolewi ujue kimeleta maendeleo, mfano chna walifanya mapinduzi 1949, kwa maana nyingine aliyekuwepo kipindi hicho alizingua, ukipiga hesabu tangu mapinduzi mpaka leo ni miaka mingap???, na sisi Tz na liccm tuna miaka mingapi?? Itazame kenya ya leo ya upinzani ni sawa na tz ya ccm, labda utushauri tuwape ccm miaka mingapi ili tupate maendeleo, vinginevyo mleta mada umekuja kupima upepo au akili yako imeganda kwa kukariri au unazi wa chama cha mbogambota
Nisome vizuri tena kama ukipenda nimesema hakuna nchi iliyoendelea leo hii ambayo iliwahi kubadilisha Chama, sasa Kenya ni nchi iliyoendelea?