Hakuna nchi iliyoendelea kwa kubadilisha Chama!

Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!

Basi kama Muanzisha Mada naifunga kama inawezekana kwa kusema hivi Wote mnaotukana na kukebehi nawaambia hivi tatizo ni ninyi na wala siyo CCM au TanZania ni kama vile mtoto aliyeshindwa maisha halafu anaishi siku zote kwa kumlaumu baba yake kwamba ndiyo sababu ya yeye kuwa na maisha magumu!

Kila la heri na fisadi Lowasa!

sie tutakuwa wa kwanza. acha mawazo mgando.vichinjio viko tayari October 25
 
Sina muda wa kusoma upuuzi wote ulioandika hapa, kwa kifupi kuanzia leo ili usipoteze tena muda wako ni kwamba......

Watanzania hatuna haja na maendeleo, wanaotaka maendeleo huwa wanahama nchi, sisi tuliobaki lengo letu mwaka huu si maendeleo bali ni kuing'oa ccm madarakani miaka 50 inawatosha.

Tumeshafanya maamuzi hapa unapoteza muda wako bure, wafikishie ujumbe huu waliokutuma. Sisi tumeshazoea shida hatuna haja na maendeleo lengo kuu ni kuifundisha adabu ccm. Tunapiga kura za chuki mwaka huu, jiandaeni kisaikolojia.
Mkuu natamani kukitukana bonge la tusi lakini kwa furaha sikutegemea kama siku ya leo ningecheka nyambaf kabisa unaumiza mbavu zangu ha haa haa haa JF katika ubora wake
 
Barbosa, mbona hujazitaja India, Brazil, Canada, Australia, Canada, Uingereza, Ujerumani, na Ufaransa? Angalau tuelezee kuhusu hizo super power tatu za mwisho.

Vv

Anasema eti zilikuwa matajiri sana wakati wa wafalme ila ni vyama vilipoanza tu zikaanza ku-die kiuchumi...e.g. england ilikuwa tajiri enzi za wafalme wao hao akina alfred the great kabla ya karne ya 1700 na hata baada hapo wafalme wengine walipoendelea wakina king sijui ma-georges na wa-williams bado tu ilikuwa tajiri sana, ila hamad! ghafla bin vuu, walipokuja kuingia hawa ma-tories na mavyama vingine mwanzoni mwa karne ya 1900 wakaanza ku-die kiuchumi...ndo tangu hapo uchumi wao ume-die, labda wamrudishe alfred au hata willy mmoja
 
Kwanini tusiongelee marekani, ufaransa, uingereza, ujerumani ambazo ndo zimeendelea zaidi kuliko hizo ulizotaja. Kwahiyo Ulitaka tuendelee kutaliwa na ccm? Bogus kabisa!
 
Mtoa thread anaongelea kubadilisha chama kwenye nchi za kijamaa zenye chama kimoja.
J Barbarosa wewe ni muongo nenda karudie research yako kisha urudi hapa.
 
Last edited by a moderator:
Hawa ndio wale walio feli darasa la saba na kufoji vyeti kisha mungu akawajalia wakapata internet. Hujui hata nchi ni zipi? Au wadhani Mwanza, Kigoma na Tabora ni nchi? Mkuu kuna nchi nyingi tu duniani zinabadirisha vyama kuliko hata ww unavyo badirisha kufuli lako na vina maendeleo ya kutoa misaada kwa Tanzania. Uwe na aibu kwa uongo wako.
 
mtoa hoja nadhani ingekuwa bora kama ungekuwa unafanya utafiti wa kina kabla ya kuposti humu jamvini hivi unaufahamu uchumi wa Kenya before mageuzi na sasa? je Kenya baada ya mageuzi bado ni third world? au imekuwa medium income country? je huko Malaysia ni kweli kuna chama kimoja je huongozaje?
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!

Basi kama Muanzisha Mada naifunga kama inawezekana kwa kusema hivi Wote mnaotukana na kukebehi nawaambia hivi tatizo ni ninyi na wala siyo CCM au TanZania ni kama vile mtoto aliyeshindwa maisha halafu anaishi siku zote kwa kumlaumu baba yake kwamba ndiyo sababu ya yeye kuwa na maisha magumu!

Kila la heri na fisadi Lowasa!

Vipi kuhusu taifa kubwa na lenye nguvu kiuchumi 'Marekani' George Walker Bush na Barack Obama aliyemfuatia ni wa vyama tofauti. Why not Tanzania? Why not this to happen in our country?
 
Kama kweli kuna watu wanalipwa na hichi chama kwa ajili ya kuandika propaganda mitandaoni kuna mabandiko mengine inabidi chama ndo kilipwe
 
Sina muda wa kusoma upuuzi wote ulioandika hapa, kwa kifupi kuanzia leo ili usipoteze tena muda wako ni kwamba......

Watanzania hatuna haja na maendeleo, wanaotaka maendeleo huwa wanahama nchi, sisi tuliobaki lengo letu mwaka huu si maendeleo bali ni kuing'oa ccm madarakani miaka 50 inawatosha.

Tumeshafanya maamuzi hapa unapoteza muda wako bure, wafikishie ujumbe huu waliokutuma. Sisi tumeshazoea shida hatuna haja na maendeleo lengo kuu ni kuifundisha adabu ccm. Tunapiga kura za chuki mwaka huu, jiandaeni kisaikolojia.

Mkuu Matola,

Kama anayo akili, atakuwa amekuelewa vizuri sana. CCM dharau zao kwa wananchi ndio zinaenda kuwatoa madarakani sasa. Badala ya kuwatumikia wapiga kura mnawatumikia mafisadi, imekula kwao. Kwa sasa ni ngumu kuwabadilisha wengi mawazo. Suala la katiba nalo limeamsha sana hasira za watu dhidi ya CCM.

Wajiandae kuwa chama cha upinzani au kufutika kabisa kama KANU.

Tiba
 
Ulitegemea kenys walipobadilisha kesho yake mambo yabadilike sio, maendeleo ni hatua mkuu, wenzetu majirani wapo hatua ya uchumi wa kati, hajakuacha tuu! kapime ubongo wako ndugu, i'm sure hauko vizuri. Watanzania achaneni na porojo kama hizi za mleta mada. Sisiem have to Gooooo!
 
kijana unayejielewa unaandika upuuzi humu ukidhani tunafanana unaandika ukidhani humu ndani wote darasa la saba kama wewe? Unailinganisha TZ na Pakistan?
 
Bush mdogo wa Republican alivuruga uchumi, Obama wa Democrat akaja akauinua na ndo moja ya sababu shilingi yetu haitii mkono kwenye dola. Sio pesa yetu tu inayochechemea, nyingi zimebutuliwa na dola kwasababu ya kupanda uchumi wa USA. Blair na Brown wa Labor walivuruga uchumi, wanaja wanaume wa conservative wamejenga uchumi kiasi kwamba awamu ya pili wamemwagiwa makura ya kutosha kuunda serikali bila kushirikiana na Nick Clergy.

Hata hapo Kenya, hii ndo nchi inayoongoza kwa uchumi mkubwa EAC miaka nenda rudi. Kama kubadilisa chama sio ishu basi tungekuwa tumewapita. Wao wanajenga mabarabara ya kuweza kupita meli, sisi tunajenga tubarabara twa kupita Passo. Wanajenga reli standard gauge, sisi tunaletwa mabehewa feki.

Kama ni propaganda, CCM ianze kutuma watu smart kichwani. Isituletee wasema chochote huku.
 
Kenya, Rwanda, Uganda, Nigeria, USA, UK, etc..
Mleta mada acha kutulisha matango pori... Nenda usome tena na tena..
CCM will come to an end just like other political parties...
Tanzanians are here to stay longer than your old, crazy orientation-less party...
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!

Basi kama Muanzisha Mada naifunga kama inawezekana kwa kusema hivi Wote mnaotukana na kukebehi nawaambia hivi tatizo ni ninyi na wala siyo CCM au TanZania ni kama vile mtoto aliyeshindwa maisha halafu anaishi siku zote kwa kumlaumu baba yake kwamba ndiyo sababu ya yeye kuwa na maisha magumu!

Kila la heri na fisadi Lowasa!

Huwezi kudeclare fact kwa sababu ya regular occurance ya situation. Things may change. Nigeria ni ya ngapi kwa utajiri africa na mbona wamepishana mara kibao?
 
Hawa jamaa wamekula ya mbuzi sasa wameota mapembe wanajua wao ni watawala tu wasubiri october
 
Back
Top Bottom