Hakuna nchi iliyoendelea kwa kubadilisha Chama!

"Get out of the box"umeziona hizo tu?vip kuhusu america,uk,france nk kenya nawe unaiita masikini?nilikuwa sijui kama kenya naye ni masikini kama tanzania,ngoja niipokee tu ingawaje ni ngumu kumeza..
 
hivi una habari kenya kwa sasa ni nchi ya uchumi wakati?

Usiwe mshabiki wa kijinga ccm haiwezi imesha shindwa,

Narudia tena kama nilivyowaambia pia wenzako hapo juu nimesema nchi iliyoeendelea nimetumia ,,nchi iliyoendelea" sasa Kenya ni nchi iliyoendelea?
 
Ujerumani na Uingereza ni tajiri na hizi nchi kama zilivyo nyingi za Ulaya zilijengwa na Wafalme (Monarch) ambao walikuwa hawabadilishwi haya mambo ya kubadilisha vyama wameanza siku hizi baada ya kuwa nchi tajiri tayari lkn wakati wako ngazi ya maendeleo kama yetu kulikuwa na Wafalme tu ambao walikuwa wana absolute power na walikuwa hawabadilishwi!

Na nchi za Asia zote ambazo zimeendelea hivi karibuni zimeiga Ulaya nazo zote zimejengwa na Chama kimoja hakuna hata moja ambayo ni tajiri leo iliyowahi kubadilisha Chama si Japani, Korea Kusini wala Singapore na wale ambao wanabadilisha vyama kila siku kama India, Pakistani, Sri Lanka Bangladeshi ni masikini!

Unazidi kunikera wewe!umekariri India ni maskini sababu 1996 uliambiwa India kuna maskini kuliko bongo?
Unajua nchi zinazoitwa BRICS?hiyo I hapo ni India na BRICS wote wako vizuri kwenye swala la industrialization. India sahiv ana export magari na mashine nyingine heavy duty kama hana akili nzuri.Na hakuna nchi maskini yenye uwezo wa kufanya industrialization kama walivofanya India.
India ina wataalam mbalimbali waliosambaa kila kona dunia hii kuanzia madaktari bingwa(mpaka ccm wenzako wanaenda kutibiwa huko kwa maskini),makandarasi,astronauts, teachers yani kila sekta humkosi mhindi.
 
wengi wanataka tu c.c.m iondoke hawajui nani aongoze kwa dira ipi na mikakati ipi kwao point ni iondoke tu hata kama mwizi ndio atakayewaongoza
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!

Nilashakwambia iwapo hela ulizochuma wakati ccm iko madarakani kama uliishia kuhongea shauri yako. CCM itaondoka madarakani na ndio itakuwa mwisho wako wa kuishi maisha ya ujanjaujanja. Kwa hiyo unasema India ni nchi maskini!!! Hivi unajua hivi majuzi India imepeleka chombo anga za mbali? Mbona hujaitaja USA ambayo ndio nchi yenye uchumi mkubwa duniani?
 
Hv south africa kabla ya mandela ...enzi botha na de clark walikuwa chini ya mwamvuli wa ANC au vip naomba kujulishwa
 
"Get out of the box"umeziona hizo tu?vip kuhusu america,uk,france nk kenya nawe unaiita masikini?nilikuwa sijui kama kenya naye ni masikini kama tanzania,ngoja niipokee tu ingawaje ni ngumu kumeza..

Kenya ni nchi masikini na bado inaendelea hapa nimezungumzia nchi zilizoendelea (Kuna tofauti kati ya nchi inayoendelea na zilizoendelea)!

Ulaya yote ilijengwa na Wafalme na walikuwa hawabadilishwi mambo ya kubadilsha vyama yemakuja baada ya nchi kuendelea tayari! Na isitoshe historia ya Ulaya na wazungu iko complex sana nakuendela kwao kuweza kutaka kuwaiga watu ambao tunafanana kwenye mambo mengi ni waasia kwa maana wote tulitawaliwa wemeendelea hivi majuzi, hawajakuwa na makoloni n.k na wote hawajawahi kubadilsha vyama na wale wanaobadilsha kila siku ni masikini kama India , Bangladeshi, Pakistani n.k
 
mi hata sijasoma story yenyewe maana ni kupoteza muda. Tunabadilisha mfumo wa utawala mbovu wa CCM. Kwangu mi CCM ndo tatizo.
 
Barbarosa nikuulize kitu kitu gani ambacho unajivunia ccm toka wachukue mpaka hapa tulipo.zaidi ufisadi uliyokithiri kila pande
 
Unazidi kunikera wewe!umekariri India ni maskini sababu 1996 uliambiwa India kuna maskini kuliko bongo?
Unajua nchi zinazoitwa BRICS?hiyo I hapo ni India na BRICS wote wako vizuri kwenye swala la industrialization. India sahiv ana export magari na mashine nyingine heavy duty kama hana akili nzuri.Na hakuna nchi maskini yenye uwezo wa kufanya industrialization kama walivofanya India.
India ina wataalam mbalimbali waliosambaa kila kona dunia hii kuanzia madaktari bingwa(mpaka ccm wenzako wanaenda kutibiwa huko kwa maskini),makandarasi,astronauts, teachers yani kila sekta humkosi mhindi.

Unatoka nje ya Mada hiyo ni mada nyingine kabisa! lkn India ni nchi Masikini na Dunia nzima inalijua hilo kwanza Takwimu za Umoja wa Mtaifa zinasema India ina masikini wengi klk au kama Afrika!
 
Ujerumani na Uingereza ni tajiri na hizi nchi kama zilivyo nyingi za Ulaya zilijengwa na Wafalme (Monarch) ambao walikuwa hawabadilishwi haya mambo ya kubadilisha vyama wameanza siku hizi baada ya kuwa nchi tajiri tayari lkn wakati wako ngazi ya maendeleo kama yetu kulikuwa na Wafalme tu ambao walikuwa wana absolute power na walikuwa hawabadilishwi!

Na nchi za Asia zote ambazo zimeendelea hivi karibuni zimeiga Ulaya nazo zote zimejengwa na Chama kimoja hakuna hata moja ambayo ni tajiri leo iliyowahi kubadilisha Chama si Japani, Korea Kusini wala Singapore na wale ambao wanabadilisha vyama kila siku kama India, Pakistani, Sri Lanka Bangladeshi ni masikini!

Kwann ccm haijaiendeleza tz kwa miaka yote 50 ya kutobadilishwa?
'You can't be serious with your argument'
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!

mawazo mgando sana haya
 
Nilashakwambia iwapo hela ulizochuma wakati ccm iko madarakani kama uliishia kuhongea shauri yako. CCM itaondoka madarakani na ndio itakuwa mwisho wako wa kuishi maisha ya ujanjaujanja. Kwa hiyo unasema India ni nchi maskini!!! Hivi unajua hivi majuzi India imepeleka chombo anga za mbali? Mbona hujaitaja USA ambayo ndio nchi yenye uchumi mkubwa duniani?

Narudia tena! Nimesema nchi iliyoendelea [kuna tofauti kati ya nchi iliyoendelea ( huu ni wakati uliopita) na nchi Inayoendelea (huu ni wakati Uliopo) ]sasa India siyo nchi iliyoendelea!
 
Unatoka nje ya Mada hiyo ni mada nyingine kabisa! lkn India ni nchi Masikini na Dunia nzima inalijua hilo kwanza Takwimu za Umoja wa Mtaifa zinasema India ina masikini wengi klk au kama Afrika!

Sijatoka nje nimekufumbua macho.Data?namba?kwani data si zinasema uchumi wa Tanzania unakua kwq kasi?vipi watu mtaani wanasemaje?
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!
umeutumia uhuru wako vizuri, uhuru wa habari
 
Back
Top Bottom