Hakuna nchi iliyoendelea kwa kubadilisha Chama!

Vipi Marekani, Uingereza na Ujerumani? . Narrow minded.
Kuendelea ni mchakato is a long process, hao Kenya unaowabeza hawajaendelea ujue kuwa hata Japan ilipitia hatua ya Kenya. Tofauti yetu na nchi za Japan, China na zingine wao wamesimamia policy ya nchi zao. Hapa kwetu CCM imeua Sera yetu ya ujamaa na kujitegemea na kutumia taratibu za miiko ya uongozi ili wajilimbikizie Mali wao na familia zao.Sasa watawezaje kuwa na jipya?Dawa ya jino bovu ni kuling'oa
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!

Mkuu unajitahidi sana kuweka mada humu inaonyesha maji yashazidi UNGA ndivyo mnavyo wadanganya wale mnaowanunulia UBWABWA na MADERA poleni sana eti...JAPANI imetawaliwa na chama kimoja kwa 50yrs....Kwahiyo nahii Tanganyika mliyoibakisha mifupa ndo mnaifananisha na Japani....kwa mawazo yanamna hii kwanini Nchi siikwame....Payukeni mnavyoweza ila mwaka huu mtakaa BENCHI
 
Shida ya mfalme mtendaji/chama kukaa muda mrefu madarakani ni kujisahau kuwa na kiburi kunakopelekea kufanya mambo kwa mazoea na kujisahau. Ndio maana founding fathers wa USA waliliona hilo na kutengeneza katiba inayoweka ukomo wa uraisi na vyama vingi.
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!
Inawezekana wengine waliobadili kama Libya na arabuni wanajuta saana na misri walitaka ila wameshtuka
 
Whatever the case! CCM must leave office this year.
 
Tatizo letu ni tupo vuguvugu si wajamaa unpatriotic less serious. Katiba inasema tz ni nchi ya kijamaa sera zetu ni ubebari pia kiswahili primary English elimu ya juu, huo mchanganyiko ndio unaotufanya tusiende mbele.
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!
tunabadili chama na mfumo.
unatulinganisha na Japani maisha yao na yetu tofauti
China huwezi linganisha na TZ ya ccm kule mla rushwa na muuza dawa za kulevya AKIKAMATWA ANANYONGWA.
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!

Oli nte ya mukebe.....gamba limekuziba akili...
 
Barbarosa huna kitu kabisa, unaona ni bora uendelee na wezi wa mchana, kubeba fedha zetu kwa viroba eti chama??
MaCCM walisha jifia yamebaki mazishi tuu, 25th Oct 2015!!
Kama hutaki waulize KANU Kenya!!
 
Last edited by a moderator:
Marekani safari hii ni Republican na muhula unaoisha ni Democrat.
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!
Ndiyo watu kama nyie wenye mawazo mgando na fikra finyu. Upuuzi kama huu hauwezi kumdanganya hata mtoto wa darasa la pili. And by the way hilo gamba mliojivua liko wapi? Majizi kama Chenge bado wanadunda na hakuna mnaloweza kumfanya. Mwaka huu lazima mtoke na mkishatoka mtapotea kabisa kwenye siasa za Tanzania maana yake wananchi watagundua tofauti kati ya miaka 53 ya utawala wa CCM na miaka michache ya utawala wa UKAWA.
 
Tumetangaza kuwa na vyama vyingi lakini chama kimoja kinataka kibaki madarakani kwa muda mrefu.
 
Basi kama Muanzisha Mada naifunga kama inawezekana kwa kusema hivi Wote mnaotukana na kukebehi nawaambia hivi tatizo ni ninyi na wala siyo CCM au TanZania ni kama vile mtoto aliyeshindwa maisha halafu anaishi siku zote kwa kumlaumu baba yake kwamba ndiyo sababu ya yeye kuwa na maisha magumu!

Kila la heri na fisadi Lowasa!
 
Nisome vizuri tena kama ukipenda nimesema hakuna nchi iliyoendelea leo hii ambayo iliwahi kubadilisha Chama, sasa Kenya ni nchi iliyoendelea?
UNITED STATES OF AMERICA wanabadilisha vyama mara kwa mara. UNITED KINGDOM, UFARANSA, UJERUMANI au hizo nazo ni masikini kama TANZANIA, unatia huruma
 
eheee? haivo nani alikuwa mfalme wa marekani? ehee? kwa hiyo kumbe marekani ilikuwa ipo juu sana kiuchumi kabla wakina G washington hawajaja na mifumo yao ya mavyama na kuifanya tena maskini? yani hapo karne za 1700 walivyokuwa wanatawaliwa na mfalme nani vile?
 
Inaonekana wanaccm hawaamini yanyotokea kabisa! Kubadili chama kutakusaidia pia. Ramani iliyochorwa na rasimu ya warioba ndiyo ukawa itatumia kuiongoza nchi. Na Tanzania itabdilika. Tatizo tulilonalo Tanzania ni kuwa na chama kisichowaogopa wananchi wake! Sasa mambo yamebadilika ghafla!
 
Back
Top Bottom