Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

Kusoma Sanaa ni njia ya mkato ya kuficha udhaifu wa binadamu.
 
Si kweli wangu KISUUUUU halafu msomi
Siyo kweli, kwanza kipilipili pili inaonekana una tabia mbaya ya kiherehere, aliyekuambia wewe kisu/mzuri ni nani? Hapo ndiyo tatizo lilipo, uzuri si sura.lol
 
Wapo wadada wenge wakali sana na wamesoma pia wapo wengi sana yupo dogo mmoja nilikuwa nakimbiza tulikutana bunge la katiba anamiaka 30 kwa sasa lakini tayari anadegree tatu moja kaipatia bongo,nyingine uongereza na tatu brazil halafu dogo mkali nikisema mkali jua mkali kweli halafu hata uwanjani yuko vizuri sana mpole hana pupa na mnyenyekevu sana penzini huo utafiti wako siyo.
Sasa hujiulizi tu kwa uzuri huo wote na mataifa yote huko alikopita hajaonekana tu mpk huko bunge la katiba mlijazana vile na maposho kibao bado wanaume hawakumuona, stuka kidogo basi! !
 
Ideally labda inatakiwa iwe hivyo lakini in actuality haiko hivyo kabisa.

Hivi unadhani kukiwa na hafla sehemu halafu kwenye waalikwa wakawemo Ngozi Okonjo-Iweala, Wema Sepetu, Kidoti, Linda Express, Missy Temeke, Anna Tibaijuka, Muke ya Muzungu, Pindi Chana, Juliana Shonza, Dina Marios, Isha Mashauzi, Khanifa Maulid, na Jokha Kassim......

Nani kati ya hao unadhani ata turn heads na kuombwa namba ya simu?
Habari yako kaka.

In terms of sex anaweza akawa anavutia. But for how long does the sexual act last? Mkija kwenye real talk, you have nothing interesting to discuss. Stuck in a bed with a woman you have nothing else in common
 
Litazame Li Angela Kairuki lilivyo zuri mkuu, watu tena wakubwa tu wanalia pale. Mkuu kautafiti kako kana mashaka kidogo
 
Wapo wadada wenge wakali sana na wamesoma pia wapo wengi sana yupo dogo mmoja nilikuwa nakimbiza tulikutana bunge la katiba anamiaka 30 kwa sasa lakini tayari anadegree tatu moja kaipatia bongo,nyingine uongereza na tatu brazil halafu dogo mkali nikisema mkali jua mkali kweli halafu hata uwanjani yuko vizuri sana mpole hana pupa na mnyenyekevu sana penzini huo utafiti wako siyo.
[emoji3][emoji3] lazima angekuwa maarufu sana.
Umetuingiza chaka.
 
Ni ukweli uliowazi kabisa, wanawake wazuri i mean kuanzia sura, umbo hadi tabia hawafiki mbali kielimu.

Wengi huishia Kidato cha nne, sita na walau degree ya kwanza.
Nadhani hii inasababishwa sana na kuhitajika kwao na wanaume, either kwenye kuolewa au kuchezewa tu na hii ni changamoto kwa wasichana wengi waliozaliwa na sura na maumbo mazuri.

Good kwa wale wasiovutia, at least wao wanaweza kufika fika mbali kidogo.
Mfano mzuri ni hawa wanaofundisha vyuo vikuu, hawako vizuri sana, ukianzia sura na miili, lakini ni wasomi, holding masters degree na Wengine PHD's.

Hata viongozi wanawake waliosoma still sura zao, miili yao na hata tabia zao si nzuri sana.

Marehemu Amina Chifupa, alikuwa mzuri mzuri, ila kielimu she was very low.

So external forces zinachangia sana kwa wadada wazuri kusonga mbele kielimu, hata kama uwezo wanao.
Nahitimisha.

Tafuta picha ya Dr Anna Makakala (Inspector General wa Uhamiaji) halafu urudi hapa utuambie kuhusu hii "hoja" yako.
 
Tafuta picha ya Dr Anna Makakala (Inspector General wa Uhamiaji) halafu urudi hapa utuambie kuhusu hii "hoja" yako.
Huyu??
DKT.-ANNA-MAKAKALA.jpeg
 
Back
Top Bottom