Hakuna mwanamke mwenye Mwanaume mmoja kwa sasa

Hakuna mwanamke mwenye Mwanaume mmoja kwa sasa

Lazima tuwapange akizingua mmoko haina kulialia unashift majeshi tu who cares?? 🙄🙄🤣🤣!!
 
Na kuna wanaume wenzetu wataelekea jukwaa la PM...
 
Guys .

Inakuaje mtoto wa kike unakuwa na mwanaume mmoja kwa karne.

Kiukweli mapenzi yametutenda na yakatuumiza sana sana tumelia maumivu yameisha.

Hakuna mwanamke mwenye mwanamme mmoja kwa sasa.[emoji26][emoji26]

Actually I will pretend like I'm serious slay Queen but in reality I have more than one Guyz.

I don't have any reason for that .

Nimeumia vya kutosha .[emoji26]
[emoji26]

[emoji26]Its time ya kuwapanga na nyie kama watoto wa primary assembly.
Unapenda Sana kutafuta attention humu

Hivi Jamii Forum sikuiz imekuwaje?

Ona huyu!! mbona mwaka 2014 to 2017 huu upuuz haukuwep?

Kama hujawai kufikishwa kileleni si useme tukutafitie bwana ukojoe ukalale

#Binaadamstuka#
 
Back
Top Bottom