Njia pekee ya kuwajua ni.
Jifunze kusoma muandiko wa mtu mbona easy sana. Ni basi tu nikipataga muda kama huu huwa nashinda humu kama CIA. Nafukunyua kila kitu alafu nasuka upya napita zangu hivi.
We hushtuki huyu jamaa ana mada kama za
G70 ambayo ilikuwa id ya zamani ya figo76 aliyokuwa anatumia kuwapunyua midume hela humu ilivyochafuka akaamua kubadili jina la id.
Saivi kaamua kuja kivingine na mhusika ni huyu *****
Mwachiluwi huyu jamaa ni mshenzi sana basi tu alafu linakuja na style ile ile sijui anadhani hatumjui.
Anyway acha niendelee kutoa taarifa kwa umma wasije wakaingia mtegoni wakutane na mtu mwenye midevu kama yao. [emoji57][emoji57][emoji57]