Hakuna mwanamke mwenye Mwanaume mmoja kwa sasa

Hakuna mwanamke mwenye Mwanaume mmoja kwa sasa

Guys .

Inakuaje mtoto wa kike unakuwa na mwanaume mmoja kwa karne.

Kiukweli maoenzi yametutenda na yakatuumiza sana sana tumelia maumivu yameisha.

Hakuna mwanamke mwenye mwanamme mmoja kwa sasa.[emoji26][emoji26]

Actually I will pretend like I'm serious slay Queen but in reality I have more than one Guyz.

I don't have any reason for that .

Nimeumia vya kutosha .[emoji26]
[emoji26]

[emoji26]Its time ya kuwapanga na nyie kama watoto wa primary assembly.
1.Kuna yule unaye mpenda.
2.Kuna yule anaye kununulia matoleo mapya ya simu.
3.Then yule anaye kutoa out na shopping.
4.Kuna yule anaye kulipia kodi ya nyumba, bili za maji na umeme pamoja na bundle.
5.Kuna yule special kwa ajili ya kukulipia vikoba na mchezo.

Hapo bado hatujawaweka wale mnao kulana kimasihala.

Kwa siku hizi kwa jinsi mnavyo endekeza tamaa na kukimbizana na trend zenu, mna haki ya kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja.
 
Mikataba mitatu ya bandari imesainiwa leo tupe kauli yako
Noma sana matokeo ni baada ya miaka 30 sijui ajira zitaongezeka bandarini au patakua vile vile maana TEC waliweka kipengele Cha Ajira kwa vijana sasa jamaa wanasema hawatopunguzwa watu na wanaotaka kuajiriwa na dpw kutoka tpa ni wao tu Sasa najiuliza vibarua vipi wanahitajika au ndio vile tena?
 
Back
Top Bottom