''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

sio wote tunatoka nje ya ndoa.....hayo ni mawazo yake yeye huyo baa medi.....

Unajua mie huwa na shangaa sana pale GT anapochukua mawazo ya "bar maid" na kuyaleta humu duh...!
Sasa hapo Mwana JF au Bar maid ndo GT......!
 
Wanawake wa maana ni wepi? Mbona mnazarau kazi za wenzenu! Sio kila baamedi ni malaya! Wengine ni watu na heshima zao. Kwa taarifa tu ni walinzi wa waume wengi sana tu! Niulize ntakwambia!

Nafikiri wanaokandia inawa hu.
 
He he he, kazi kweli kweli

Watu wanaogopa kugongewa, kama hugongi usijipe presha ya kugongewa lol
 
Huyo dada ni mmbeya tu as alikua anakupa umbeya wa mtaani na kuzidisha chumvi ili umpe offer akaleta na kamada kake ka uzushi..:hakunaga mtu mwaminifu kama mke we timiza wajibu wako na umpende mkeo kisawa sawa yaaan waaalaaaa hautakaa usikie kagongwa nje ya ndoa...
 
Unajua mie huwa na shangaa sana pale GT anapochukua mawazo ya "bar maid" na kuyaleta humu duh...!
Sasa hapo Mwana JF au Bar maid ndo GT......!

Kibweka Barmaid anaweza kuwa GT kuliko wewe.....na GT yeyote hawezi kudharau maoni ya watu wa chini..huwa huyachukua na kuyafanyia kazi. Nakutilia shaka kwa hilo.
 
Siyo kweli, mimi mbona sijawahi kutoka nje ya ndoa yangu hata sekunde moja jamani??
 
Wanawake wa maana ni wepi? Mbona mnazarau kazi za wenzenu! Sio kila baamedi ni malaya! Wengine ni watu na heshima zao. Kwa taarifa tu ni walinzi wa waume wengi sana tu! Niulize ntakwambia!

ahahahahhahhaha mangiiiiii!naona umeona tu uje,usije ukapoteza wateja bure kweny grosary yetu shem wangu,shimbon shafoo lau........
 
Kibweka Barmaid anaweza kuwa GT kuliko wewe.....na GT yeyote hawezi kudharau maoni ya watu wa chini..huwa huyachukua na kuyafanyia kazi. Nakutilia shaka kwa hilo.

Nakubaliana na wewe ila ni bora kuyafanyia kazi mawazo hayo kabla ya kuyachukua moja kwa moja kwa utekelezaji....
 
Uliona wapi barmaid akawa mwanamke wa mana!

Na uliona wapi mlevi akawa mtu wa mana, angekuwa wa mana asinge enda nunua ujinga, hebu nieleze ulevi una faida gani?

Kwa taarifa tu! Bar maids ni watoa huduma kama walivyowatoa huduma wengine. Nanao ushaidi wa kutosha kuhusu bar maids ambao wana busara hekima na waadilifu kulioko baadhi yenu mnaowaita wake zenu. Tena wamekwenda mbali zaidi na hata kuinua kiwango cha elimu yao kwa kiwango kikubwa! Kwa kupitia mateso yenu wale mliowadhalilisha! Mliowapa mimba wakiwa wadogo! Mkawabaka! Mkawaacha kwenye mateso makali! Hawakuwa na namna nyingine ila kuifanya kazi ambayo iliwapa kipato angalao cha kuwawezesha kunyanyua mkono na kuuweka kinywani! Ni bar maid huyo huyo unayemdharau alikuwa anaangalia kinywaji chako mahala pale ulipokuwa na huyo kimada wako! Akakuokoa na ile sumu alokuwekea kimada ili ama uangamie ama uwe mtumwa wake milele! Akakudokeza na dhahama ile ikapita! Na mengi mengineyo unayajua! LEO HANA MAANA!
Mlevi! Fanya utafiti ujue ni kwa nini baadhi ya watu hulewa! Ukishajua ni kwa nini then uje hapa tukusaidie! Sio walevi wote sio wa maana! Na sio waenda baa wote ni walevi! Fikiria kwanza kabla ya kusema!
 
ahahahahhahhaha mangiiiiii!naona umeona tu uje,usije ukapoteza wateja bure kweny grosary yetu shem wangu,shimbon shafoo lau........

Bwana kwenye ukweli wacha tuseme. Lowasa alisema myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!
 
haiyaaa......ndio maana huwa nasema.....wanaume waliokaa kiume ndio wenye mvuto.....mwanaume umelegea utanishawishi vipi niamini hugongwi......

Hah... Preta. Afadhali utupemoyo sisi tusio mandsome.....
 
Kwa taarifa tu! Bar maids ni watoa huduma kama walivyowatoa huduma wengine. Nanao ushaidi wa kutosha kuhusu bar maids ambao wana busara hekima na waadilifu kulioko baadhi yenu mnaowaita wake zenu. Tena wamekwenda mbali zaidi na hata kuinua kiwango cha elimu yao kwa kiwango kikubwa! Kwa kupitia mateso yenu wale mliowadhalilisha! Mliowapa mimba wakiwa wadogo! Mkawabaka! Mkawaacha kwenye mateso makali! Hawakuwa na namna nyingine ila kuifanya kazi ambayo iliwapa kipato angalao cha kuwawezesha kunyanyua mkono na kuuweka kinywani! Ni bar maid huyo huyo unayemdharau alikuwa anaangalia kinywaji chako mahala pale ulipokuwa na huyo kimada wako! Akakuokoa na ile sumu alokuwekea kimada ili ama uangamie ama uwe mtumwa wake milele! Akakudokeza na dhahama ile ikapita! Na mengi mengineyo unayajua! LEO HANA MAANA!
Mlevi! Fanya utafiti ujue ni kwa nini baadhi ya watu hulewa! Ukishajua ni kwa nini then uje hapa tukusaidie! Sio walevi wote sio wa maana! Na sio waenda baa wote ni walevi! Fikiria kwanza kabla ya kusema!

Machozi yananitoka
 
Kila mtu hatoki nje ya ndoa, jamani.

Jamani mie natoka, kwa anayetaka tutoke tukutane bar ya Mangi.
 
Thank you so much
Amsterdam.... i do the same to my wife. Namuamini asilimia zote...
inauma sana usikie wife anagongwa nje.... ni nouma

Ila wewe kugonga nje poa tu? Huyo infoma wako amechanganya madesa,alikuwa anamaanisha wanaume.
 
Kwa taarifa tu! Bar maids ni watoa huduma kama walivyowatoa huduma wengine. Nanao ushaidi wa kutosha kuhusu bar maids ambao wana busara hekima na waadilifu kulioko baadhi yenu mnaowaita wake zenu. Tena wamekwenda mbali zaidi na hata kuinua kiwango cha elimu yao kwa kiwango kikubwa! Kwa kupitia mateso yenu wale mliowadhalilisha! Mliowapa mimba wakiwa wadogo! Mkawabaka! Mkawaacha kwenye mateso makali! Hawakuwa na namna nyingine ila kuifanya kazi ambayo iliwapa kipato angalao cha kuwawezesha kunyanyua mkono na kuuweka kinywani! Ni bar maid huyo huyo unayemdharau alikuwa anaangalia kinywaji chako mahala pale ulipokuwa na huyo kimada wako! Akakuokoa na ile sumu alokuwekea kimada ili ama uangamie ama uwe mtumwa wake milele! Akakudokeza na dhahama ile ikapita! Na mengi mengineyo unayajua! LEO HANA MAANA!
Mlevi! Fanya utafiti ujue ni kwa nini baadhi ya watu hulewa! Ukishajua ni kwa nini then uje hapa tukusaidie! Sio walevi wote sio wa maana! Na sio waenda baa wote ni walevi! Fikiria kwanza kabla ya kusema!
We nadhani unaota kufananisha barmaid na wake zetu, angekuwa mwanamke wa busara asinge sogea hata siku moja kufanya kazi pale wako walevi...Sehemu ya walevi ni sehemu ya vichaa tu utasikia matusi, makelele, ugomvi, malaya wanaenda jiuza sa sehemu kama hizo ni kweli mtu ana akili yake atazisogelea? We sababu hazikutoshi ndo mana unaona kwenda bar na kulewa sawa.

We kama una akili kama unavyo dai, hebu niambie toka umenza kulewa umepata faida gani, zaidi ya kuzipoteza pesa zako.

Mwanamke ambaye ana heshima zake hawezi enda sehemu za walevi hata siku moja, hata kama kakosa chakula cha kulisha wanae, mana pale atapapaswa ******, atatongozwa yani atafanyiwa dharau za kila aina mana pale hata mwanaume anaweza kutoa u b o wake, akamuambia njoo unyonye hapa :biggrin:
 
Bwana kwenye ukweli wacha tuseme. Lowasa alisema myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!
pole wangu ndo hivo tena watu wanataka kutuone bure tukkose wateja,na mwaka huu unaisha lau tutaenda mengeleni kula kisusio na mmbeke ya mgombani pamoja na nauli ya dar express ah!
 
We nadhani unaota kufananisha barmaid na wake zetu, angekuwa mwanamke wa busara asinge sogea hata siku moja kufanya kazi pale wako walevi...Sehemu ya walevi ni sehemu ya vichaa tu utasikia matusi, makelele, ugomvi, malaya wanaenda jiuza sa sehemu hizo ni kweli mtu ana akili yake atasogea? We si huna akili ndo mana unaona kwenda bar na kulewa sawa.
We kama una akili kama unavyo dai, hebu niambie toka umenza kulewa umepata faida gani, zaidi ya kuzipoteza pesa zako.

Mwanamke ambaye ana heshima zake hawezi enda sehemu za walevi hata siku moja, hata kama kakosa chakula cha kulisha wanae, mana pale atapapaswa ******, atatongozwa yani atafanyiwa dharau za kila aina mana pale hata mwanaume anaweza kutoa u b o wake, akamuambia njoo unyonye hapa :biggrin:

Kuota ni sehemu ya maisha ndugu! Una ufinyu wa mawazo sana ndo maana umekalia kutukana! Sio kosa lako! Anyway kwa taarifa hata mkeo ni mlevi tu! Tafsiri halisi ya ulevi huijui ndo maana uanakurupuka! Kadadvue maana ya ULEVI ukija baadae utajua! Heshima uanyoizungumzia ni ipi kwanza! Wangapi tuliona wakitoka kwao wamepiga kininja wakifika mtaani wanapembua na kubakia nusu uchi! Mbona hatusemi! We bana kaa kimya hujui usemalo!
Muuza baa akitaka kupapaswa atapapaswa! Akitaka asipapaswe halikadhalika!
Faida nizipatazo nazijua kwa ulevi wangu! Hasara nizipatazo nazijua!
 
Hapana huyo dada alikuwa anakutaka ndiyo akatoa stori za wake za watu ili na wewe uingie kwenye mtego utoke naye shukuru mbio zilikuokoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom