''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

na yeye akavutakiti akakaa pembeni na kuanza kunipaumbea kwa yaliyotokea mtaani kwa wiki nzima.....
Naomba nimnukuu hicho kipengele.... '' Unajua baba... sisi wanawake ni wadhaifu sana.....nina uakika katika wanawake 100 labda ni mmoja tu ndio atakua hajatoka nje ya ndoa''

Hap kwenye red kweli umenishangaza, mwanaume na umbea wapi na wapi? Hapo blue hapo alikuwa anaongelea wanawake wa aina yake, I mean wahudumu wa bar na sio wanawake wote

Hii thread imewagonga wengi, wanawake wengi wanatoka nje ya ndoa kuliko unavyofikiri. Wapo wanawake waaminifu ila asilimia kubwa wanagongwa nje ya ndoa

Uliona wapi barmaid akawa mwanamke wa mana!

Na uliona wapi mlevi akawa mtu wa mana, angekuwa wa mana asinge enda nunua ujinga, hebu nieleze ulevi una faida gani?

We nadhani unaota kufananisha barmaid na wake zetu, angekuwa mwanamke wa busara asinge sogea hata siku moja kufanya kazi pale wako walevi...Sehemu ya walevi ni sehemu ya vichaa tu utasikia matusi, makelele, ugomvi, malaya wanaenda jiuza sa sehemu kama hizo ni kweli mtu ana akili yake atazisogelea? We sababu hazikutoshi ndo mana unaona kwenda bar na kulewa sawa.

We kama una akili kama unavyo dai, hebu niambie toka umenza kulewa umepata faida gani, zaidi ya kuzipoteza pesa zako.

Mwanamke ambaye ana heshima zake hawezi enda sehemu za walevi hata siku moja, hata kama kakosa chakula cha kulisha wanae, mana pale atapapaswa ******, atatongozwa yani atafanyiwa dharau za kila aina mana pale hata mwanaume anaweza kutoa u b o wake, akamuambia njoo unyonye hapa :biggrin:

Usitukane wakunga
 
Kuota ni sehemu ya maisha ndugu! Una ufinyu wa mawazo sana ndo maana umekalia kutukana! Sio kosa lako! Anyway kwa taarifa hata mkeo ni mlevi tu! Tafsiri halisi ya ulevi huijui ndo maana uanakurupuka! Kadadvue maana ya ULEVI ukija baadae utajua! Heshima uanyoizungumzia ni ipi kwanza! Wangapi tuliona wakitoka kwao wamepiga kininja wakifika mtaani wanapembua na kubakia nusu uchi! Mbona hatusemi! We bana kaa kimya hujui usemalo!
Muuza baa akitaka kupapaswa atapapaswa! Akitaka asipapaswe halikadhalika!
Faida nizipatazo nazijua kwa ulevi wangu! Hasara nizipatazo nazijua!
We una matatizo kama walevi...wapi nimetukana! nimekueleza yanayo tokea sehemu za walevi, we naona unasema natukana wapi nimetukana hebu nipe quote nilio kutukana zaidi ya kusema mtu mwenye akili haendi bar.

Nilio zungumza yote ni sawa yanatokea bar, we kama unaona bar ina faida ni wewe tu ndo mana unashakia wake zetu walevi kama nyie :biggrin:
 
Hii thread imewagonga wengi, wanawake wengi wanatoka nje ya ndoa kuliko unavyofikiri. Wapo wanawake waaminifu ila asilimia kubwa wanagongwa nje ya ndoa
Niko na wewe wanawake wengi wanagongwa nje ya ndoa, ni wale wale walio olewa baada ya kugongwa toka mwanzo kabla ya kuolewa, lakini mwanamke aliye jituliza tokea mwanzo, ataendelea kujituliza tu, kumbukeni sio wote wamelewa bar :biggrin:

Usitukane wakunga
Kusema walevi hawana akili sioni kama ni tusi ni kweli hata dini zinasema vile, walevi ni wajinga:biggrin:
 
We una matatizo kama walevi...wapi nimetukana! nimekueleza yanayo tokea sehemu za walevi, we naona unasema natukana wapi nimetukana hebu nipe quote nilio kutukana zaidi ya kusema mtu mwenye akili haendi bar.

Nilio zungumza yote ni sawa yanatokea bar, we kama unaona bar ina faida ni wewe tu ndo mana unashakia wake zetu walevi kama nyie :biggrin:

Aisifiaye mvua imemnyea! Huwezi kusema yanayojiri msikitini wakati wewe sio muumini wa dini husika hali kadhalika huwezi kuyasemea ya kanisani kwa kuwa wewe sio muumini wa kanisani!
Sasa wewe uliyajuaje ya kupapaswa nk nk!
Kumwita binadamu mwenzako hana akili ni kumtukana ndugu! Yuko mtaalamu alikuwa pale muhimbili miaka hiyo! Bila yeye kuitwa kufanyia uchinguzi maiti za ndugu zetu hakuna mwingine aliyekuwa anaweza ingawa alikuwa zaidi ya mlevi!

Kwa faida yako tu nimekwambia nenda kadadavue ni nini maana ya ULEVI! Then you come back here and we discuss the ULEVI! Otherwise naona napoteza muda wangu kukuelimisha! Be a good boy and do as I advice you!
 
Niko na wewe wanawake wengi wanagongwa nje ya ndoa, ni wale wale walio olewa baada ya kugongwa toka mwanzo kabla ya kuolewa, lakini mwanamke aliye jituliza tokea mwanzo, ataendelea kujituliza tu, kumbukeni sio wote wamelewa bar :biggrin:

Kusema walevi hawana akili sioni kama ni tusi ni kweli hata dini zinasema vile, walevi ni wajinga:biggrin:

Simaanishi usitukane kwa sababu umeongea kuhusu walevi, ila unavyowadharau barmaids dunia hii bado inazunguka una watoto huwezi jua mbele itatokea nini. Yakupasa kumuomba Mungu na kumshukuru kwa jinsi ulivyo na si kudharau wengine kwamba wako hivi vile
 
Ivi mtu unakuwa na haraka gani kuandika mpaka uandike "Nye" ya ndoa?? Sasa kuna uhusiano gani kati ya Y na J? Kwanza hata hazipo karibu, iwe kwenye pc au kwemye simu. Au unakuwa umekariri statement??
 
Kwani hao wanawake wakitoka nje ya ndoa wanado na paka? Siwanado na sisi wanaume tena possibly 'luliowowa'? So equation linabalance.
 
Aisifiaye mvua imemnyea! Huwezi kusema yanayojiri msikitini wakati wewe sio muumini wa dini husika hali kadhalika huwezi kuyasemea ya kanisani kwa kuwa wewe sio muumini wa kanisani!
Sasa wewe uliyajuaje ya kupapaswa nk nk!
Kumwita binadamu mwenzako hana akili ni kumtukana ndugu! Yuko mtaalamu alikuwa pale muhimbili miaka hiyo! Bila yeye kuitwa kufanyia uchinguzi maiti za ndugu zetu hakuna mwingine aliyekuwa anaweza ingawa alikuwa zaidi ya mlevi!

Kwa faida yako tu nimekwambia nenda kadadavue ni nini maana ya ULEVI! Then you come back here and we discuss the ULEVI! Otherwise naona napoteza muda wangu kukuelimisha! Be a good boy and do as I advice you!
Yani we naona unataka nikuone una akili wakati nimeisha kuona jinga, we hebu nipe point za faida ya ulevi mbona hunijibu.

BTW I'm a man not a boy :biggrin:
 
Simaanishi usitukane kwa sababu umeongea kuhusu walevi, ila unavyowadharau barmaids dunia hii bado inazunguka una watoto huwezi jua mbele itatokea nini. Yakupasa kumuomba Mungu na kumshukuru kwa jinsi ulivyo na si kudharau wengine kwamba wako hivi vile
Maneno unayo ongea sawa, watoto wangu wakienda bar kulewa, au wakafanye kazi bar, ni lazima watakuwa vichaa kama hao vichaa :biggrin:
 
Who said a boy is not a man! Did I say so?
Tuambie ukweli! We uliyajuaje ya baa kama huendi baa! Kama huendi huwa unapiga chabo yanayotendeka humo baa?
Ni kweli kuwa mimi ni jinga! Siwezi kubisha kabisa hilo maana sijui kila kitu ila najua yale ninayoyajua!
Faida ya Ulevi natoa ajira kwa wale cousins wako walikataliwa pale mtaani kwenu!
 
A boy becomes a man when he is old enough, ni sawa sawa na mlevi mpaa ajue kama pombe haina faida ndo atafikia kuwa a man :biggrin:

Yani we naona unataka nikuone una akili wakati nimeisha kuona jinga, we hebu nipe point za faida ya ulevi mbona hunijibu.

BTW I'm a man not a boy :biggrin:

Bia ndio bidhaa inayotozwa kodi nyingi kuliko zote . Kodi hizi ndio hukupeleka India wewe mgonjwa. Bia hutoa ajira kwa malaki ya watanzania ambao hawawezi kupata kazi kwingineko. Bia huleta uchangamfu kwa mamilioni ya watanzania wanaosononeshwa na watawala wao. nk etc
 
A boy becomes a man when he is old enough, ni sawa sawa na mlevi mpaa ajue kama pombe haina faida ndo atafikia kuwa a man :biggrin:

??????????????????????????? ni kigugumizi ama umechoka? Ka upande wangu sijakuelewa sijui wengine! Anyway you can join me for lunch! Tukutane baa gani? You can find a new friend anywhere like I found you here! Karibu Man!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom