''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

UKWEP N KWAMBA YEY ALICEMA HVO BAADA YA KULEWA VIROBA ULIVOMPA OFA
NA VLVL ALCEMA HIVO KWA7b YY NA MABEST ZAKE WOTE WAHUNI
MBONA WANGU SAFII2......
UKIKAA NA WALEV WATAKWA MBA YA KLEV2 NA OLE WAKO UNGEENDELEA KUKAA.NAE ANGECEMA HATA MKEO YUMO IL UZD KUTOA OFA-WALEV WASHENZ SANA

Da watu wengine wamesomea maandishi! Ndo kiwapi hiki yahillah!
 
Jana mida ya jioni kama kawaida nilitoka kuelekea hapo contena kwa mangi...... huwa tunahudumiwaga na dada yake mangi ambaye alikuja mjini siku nyingi na toka aje shughuli zake zimekua ni kuhudumia baa mbalimbali na maarufu hapa mjini.
Huyu dada ni rafiki ya wanaume wengi walioko kwenye ndoa maana huwa anajua mambo mengi na anatusaidia kuondoa stresi kwa utani na masihara yake.
Kama kawaida nilipofika tu akaniletea kesto yangu baridi na yeye akavutakiti akakaa pembeni na kuanza kunipaumbea kwa yaliyotokea mtaani kwa wiki nzima.....Ila kuna kipengele kilinishtua sana.
Naomba nimnukuu hicho kipengele.... '' Unajua baba... sisi wanawake ni wadhaifu sana.....nina uakika katika wanawake 100 labda ni mmoja tu ndio atakua hajatoka nje ya ndoa'' mwisho wa kunukuu.
Baada ya kumbishia..akaanza kunipa data za uzoefu wake na wateja mbalimbali na hata wakeza watu wanaogongwa na vijana hapo mtaani....jasho lilinitoka sana... nikamkatiza isijeikawa na wangu yuko kwene list....nilinyanyuka na kumuaga, ila kwa kweli usiku nimelala natafakari aliyoniambia bado simuamini..ila mwenye kujua hili ebu nifungueni akili nini kinaendelea kwa wake zetu jamini.

Nimeshtuka nilidhani ni utafiti wa kisayansi kumbe ni wa Bar maid tena anaye hudumia Kwenye Kontena?
 
Nilijua walevi nikikutana nao, lazima watanipotezea time yangu 😛oa
Nimekuita mjinga wa kwanza kwa sababu mjinga wa mwisho ana afadhali, wewe ungekuwa na akili japo ya 1 GB ingekupa fursa ya kuelewa kwamba Nchii inaendeshwa na walevi, tukifunga viwanda vya vileo na sigara nchi inafirisika halafu anatokea mwehu kama wewe unakuja kuwabeza Economic boosters?
 
Ivi mtu unakuwa na haraka gani kuandika mpaka uandike "Nye" ya ndoa?? Sasa kuna uhusiano gani kati ya Y na J? Kwanza hata hazipo karibu, iwe kwenye pc au kwemye simu. Au unakuwa umekariri statement??
Mi mchagga na hiyo ndo accent yangu...sasa mbona umeelewa.
 
Mzinzi yoyote ata-assume watu wote ni wazinzi; mwongo hali kadhalika. We huoni midume mizinzi inavyo-treat wake zao. kwa kifupi nukuu hio ina walakini!
 
Nimeshtuka nilidhani ni utafiti wa kisayansi kumbe ni wa Bar maid tena anaye hudumia Kwenye Kontena?

Kwani akili za barmed na zako zinatofauti gani..sema tu mazingira ya kufanyia kazi ndo tofauti lakini hamna mtu ameumbwa na akili ya dhahabu...alafu tena za kwako zinaendana na jina lako....ni za hivyohivyo ZA ki TEMPOLALE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom