''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

Kwaiyo ngoma droo! No more discussion.

Kisayansi, wanaume wana muelekeo wa kusaliti ndoa kuliko wanawake. Huu ulikuwa ni utafiti nilioufanya University of Botswana na kutunukiwa shahada ya Uzamivu. Labda angesema 30% ya wanaume wako likely kusaliti, ningeelewa.
 
Sasa ukiongelea utafiti uliofanyika Uni ya Botswana lazima utuletee data..mimi ninaweza kusema southafrica wote wanamfumo wa kifalme....hivyo kuoa au kutoka nje ya ndoa ni jadi yao kutokana na mifumo ya kiutawala ya kizamani ya kifalme bado inatambulika mpaka sasa...
 
Naunga mkono hoja,yaani hawa wanandoa ndo hakuna kitu kabisa,ukitaka kumpata mdada au mmama aliye kwenye ndoa ni veri simpo,we jifanye unamjali sana kwa mawazo ,na kumsikiliza shida zake za kwenye ndoa ,mpe mpe ushauri wa hapa na pale mara utashtukia mko "loji" mnatatua na matatizo mengine.
 
..akaanza kunipa data za uzoefu wake na wateja mbalimbali na hata wakeza watu wanaogongwa na vijana hapo mtaani....jasho lilinitoka sana... nikamkatiza isijeikawa na wangu yuko kwene list....nilinyanyuka na kumuaga, ila kwa kweli usiku nimelala natafakari aliyoniambia bado simuamini..ila mwenye kujua hili ebu nifungueni akili nini kinaendelea kwa wake zetu jamini.

aliyokwambia dada mangi ni kweli mtupu, awali hiyo kazi ya kugonga nje ya ndoa ilikuwa zaidi ya wanaume, wanawake tukawa wapole tukisubiri labda mtajirekebisha, miaka imeenda hali iko pale pale na imezidi kuwa mbaya kiasi kwamba baadhiya waume zetu wameamua hata kutembea na 'mashoga':embarassed2: tulipofika hapo tumeona imetosha, yaani bhaaaaasssss... na sisi tumefungulia siku hizi tunagongwa nje ya ndoa kwa kwenda mbele tuone wenzetu ambacho mmekuwa mkifaidi miaka yooote hiyo hata mnashindwa kutulizana na wake zenu warembo majumbani... sio siri tunagongwa jamani... hata wewe mwanaume unaesoma hii post mchunguze vema mkeo utagundua nae anagongwa vilevile ndio maana ngumi zimepungua sana majumbani ck hizi hatuna wivu kama zamani maana na sie tunafanya kama nyie, kwa ufupi ngoma droo... hakuna kuibiwa tena ni kuibiana kwa kwenda mbele...khabari ndo hiyo kakangu:biggrin::tongue::tongue: take eazy.....
 
Nimekuita mjinga wa kwanza kwa sababu mjinga wa mwisho ana afadhali, wewe ungekuwa na akili japo ya 1 GB ingekupa fursa ya kuelewa kwamba Nchii inaendeshwa na walevi, tukifunga viwanda vya vileo na sigara nchi inafirisika halafu anatokea mwehu kama wewe unakuja kuwabeza economic boosters?
Akili za wajinga utazijua tu, eti wao Economic boosters :biggrin:
 
Sema umeelimika la sivyo usingechosha hiyo key pad ya hapo ofisini kwa huyo boss wako MLEVI!
Mbona elimu nayo kitambo mwenzako pesa yangu inatumika kwa faida ya family yangu, sio kwenda kununua ujinga :biggrin:
 
Nimeshtuka nilidhani ni utafiti wa kisayansi kumbe ni wa Bar maid tena anaye hudumia Kwenye Kontena?

Hivi inakuwaje mwanaume unaenda bar, unafika unaanza kuulizia umbea kwa bar maid? kweli??!!
 
aliyokwambia dada mangi ni kweli mtupu, awali hiyo kazi ya kugonga nje ya ndoa ilikuwa zaidi ya wanaume, wanawake tukawa wapole tukisubiri labda mtajirekebisha, miaka imeenda hali iko pale pale na imezidi kuwa mbaya kiasi kwamba baadhiya waume zetu wameamua hata kutembea na 'mashoga':embarassed2: tulipofika hapo tumeona imetosha, yaani bhaaaaasssss... na sisi tumefungulia siku hizi tunagongwa nje ya ndoa kwa kwenda mbele tuone wenzetu ambacho mmekuwa mkifaidi miaka yooote hiyo hata mnashindwa kutulizana na wake zenu warembo majumbani... sio siri tunagongwa jamani... hata wewe mwanaume unaesoma hii post mchunguze vema mkeo utagundua nae anagongwa vilevile ndio maana ngumi zimepungua sana majumbani ck hizi hatuna wivu kama zamani maana na sie tunafanya kama nyie, kwa ufupi ngoma droo... hakuna kuibiwa tena ni kuibiana kwa kwenda mbele...khabari ndo hiyo kakangu:biggrin::tongue::tongue: take eazy.....

Bibie Muhanga, umenifurahisha sana..... yaani hili ndio jibu la kufungia mwaka!!! Haswa hapo nilipo bold!! Ila mimi nakataa wangu hagingwi!! Dah...:lol:
:lol:
 
Akili za wajinga utazijua tu, eti wao Economic boosters :biggrin:

mpendwa tunatofautiana katika kufikiri... kwa mtazamo wake economic boosters wake ni hao wanaotengeneza vilevi na sigar... hajui hata madini, kilimo, viwanda vya nguo bidhaa mbalimbali navyo ni 'boosters'!
 
Mbona elimu nayo kitambo mwenzako pesa yangu inatumika kwa faida ya family yangu, sio kwenda kununua ujinga :biggrin:

Wenye elimu watakuwa wewe! Kama unayo elimu labda ya kupigia ramli! Wenye elimu hawasemi bwana! So far kuna mtoto kapita hapa kaptula imechanika matakoni tumemuuliza baba yako anaitwa nani katwambia FAZAA. Kama mwanao mkuu acha kucheza bao kafanye kazi! Hata ukiomba kazi ya kuhudumia hapa baa tunayonywea watakuajiri tu!
 
Mjinga Baba yako.
Sa wazazi wanahusika nini hapa, yani dingi wangu alivyo kuwa na akili we wacha tu, ndo mana alisha nikataza tokea mwanzo nisikaribie pombe :biggrin:
 
Sarikoki,
Ulivyoanza story na huyo dada ni fika alikuwa anakuweka kwenye mtego wake. Ni vigumu kuanza story ya kiwango hicho
 
Wenye elimu watakuwa wewe! Kama unayo elimu labda ya kupigia ramli! Wenye elimu hawasemi bwana! So far kuna mtoto kapita hapa kaptula imechanika matakoni tumemuuliza baba yako anaitwa nani katwambia FAZAA. Kama mwanao mkuu acha kucheza bao kafanye kazi! Hata ukiomba kazi ya kuhudumia hapa baa tunayonywea watakuajiri tu!
Ndo mlivyo walevi si walaumu watu wameisha wazoweya majumbani kwenu shida tupu mtaishia kuropoka tu, wake zenu mnawashakia sababu mnajua hamuwezi kuwatimizia haja zao....watoto zenu wakiomba pesa, mnawanyima na matusi juu, yani mnathamini pombe kuliko family zenu :biggrin:
 
Bibie Muhanga, umenifurahisha sana..... yaani hili ndio jibu la kufungia mwaka!!! Haswa hapo nilipo bold!! Ila mimi nakataa wangu hagingwi!! Dah...:lol:
:lol:

aah jipe moyo tu ndugu yangu iko siku utajua ukweli, wewe ukiona mkeo hakufuatiliii kiviiiile kwenye mambo yako, yuko hapy muda mwingi, anapenda kutabasam na cm yake, na anafuta calls na sms zote anza kumulika mwizi... asigongwe ana nini? kama wewe unamgonga na anausikilizia utamu unadhani wengine watashindwajwe kugonga ngozi hiyo.?? jipe moyo jipe moyoo jipe moyooo utashindaaaa:wink2::biggrin:
 
aliyokwambia dada mangi ni kweli mtupu, awali hiyo kazi ya kugonga nje ya ndoa ilikuwa zaidi ya wanaume, wanawake tukawa wapole tukisubiri labda mtajirekebisha, miaka imeenda hali iko pale pale na imezidi kuwa mbaya kiasi kwamba baadhiya waume zetu wameamua hata kutembea na 'mashoga':embarassed2: tulipofika hapo tumeona imetosha, yaani bhaaaaasssss... na sisi tumefungulia siku hizi tunagongwa nje ya ndoa kwa kwenda mbele tuone wenzetu ambacho mmekuwa mkifaidi miaka yooote hiyo hata mnashindwa kutulizana na wake zenu warembo majumbani... sio siri tunagongwa jamani... hata wewe mwanaume unaesoma hii post mchunguze vema mkeo utagundua nae anagongwa vilevile ndio maana ngumi zimepungua sana majumbani ck hizi hatuna wivu kama zamani maana na sie tunafanya kama nyie, kwa ufupi ngoma droo... hakuna kuibiwa tena ni kuibiana kwa kwenda mbele...khabari ndo hiyo kakangu:biggrin::tongue::tongue: take eazy.....

:shock: sikutegemea jibu kama hilo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom