''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

Snow... hebu malizia kazi unayoifanya bana alafu uanze kuusoma huu uzi vizuri...Kichwa cha habari sio maneno yangu mimi.. ni maneno niliyomnukuu Dada yake Mangi.

nimeusoma vizuri tu!na nilichokumind ni pale unaposema na wewe ni mhanga na hili,hebu rudia hapa kwa ufafanuzi zaidi nilinyanyuka na kumuaga, ila kwa kweli usiku nimelala natafakari aliyoniambia bado simuamini..ila mwenye kujua hili ebu nifungueni akili nini kinaendelea kwa wake zetu jamini.
 
Na vipi ukisikia mume anagongwa nje?
:focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus: wacha maswali ya kinyaaa nakuheshimu sana nisije kukujibu upumbavu bure.
 
Nimekusoma mkuu King Kong.... tafsiri ya baamedi sio mbaya kama ukitaka kuiweka hivyo..ila kwa hapa mtaani tunamjua ni dada yake mangi.... ningetaka hiyo tafsiri ya baamedi nisingeandika dada yake mangi... ila kama unamuona kwa mtazamo huo sio mbaya pia.

Mkuu whether awe dada yake mangi au dada yake sarikoki kama anatoa services(huduma) kuwahudumia wateja yeye ni barmaid........

Google:
•bar·maid/ˈbärˌmād/
Noun:
A waitress who serves drinks in a bar
A woman bartender

•A bartender, barman, or barmaid, is a person who serves usually alcoholic drinks behind a counter in a bar, pub, grocery, ...
 
nimeusoma vizuri tu!na nilichokumind ni pale unaposema na wewe ni mhanga na hili,hebu rudia hapa kwa ufafanuzi zaidi nilinyanyuka na kumuaga, ila kwa kweli usiku nimelala natafakari aliyoniambia bado simuamini..ila mwenye kujua hili ebu nifungueni akili nini kinaendelea kwa wake zetu jamini.

Okay nshaona tatizo... nilisema muhanga uliponiambia niwatake radhi (hata mimi nina mke)........sikumuamini dada mangi ndio maana nikaleta mada hapa..... na ukiangalia nimemsapoti Amsterdam alivyosema yeye mme wake ni kila kitu na hatishiki na wa nje.....
 
kha baameidi kaongea ukweli kabisa...ilawanaume tujipe moyo tuu...hao wanaoonja wake zetu hawabanduii K za wake zetu....utamu ule ule tuu. na sie sii tunachovya pembeni jamani. so ngoma draw
 
Mkuu whether awe dada yake mangi au dada yake sarikoki kama anatoa services(huduma) kuwahudumia wateja yeye ni barmaid........

Google:
•bar·maid/ˈbärˌmād/
Noun:
A waitress who serves drinks in a bar
A woman bartender

•A bartender, barman, or barmaid, is a person who serves usually alcoholic drinks behind a counter in a bar, pub, grocery, ...
Hasante..ndio maana nikasema Kontena..... hana leseni ya kuuza vilevi.
 
Mbona hii issue ya kawaida sana....hapa kazini kuna kina dada na ma anti wameolewa na wako kwenye ndoa zao lakini bado tu wanajigonga sana kwa maba chelor kama mm ila tunawapotezea tu ingawa wapo ambao wanavutia na wamejaaliwa miili ya kufa mtu....lolz
 
ah nahisi hii hoja hujajipanga best!hebu kuja vizuri!

Hehehe Snow bana..sasa nijipange nini maana ubishi ni jina tu, sioni sababu ya kumuita baamed hivyo kama mtu ameamu amuite mimi sikatai lakini sio kunilazimisha mimi nimuite hivyo...hilo ni jina tu.. ni kama Malaya umuite anayejiuza mwili wake..... au Matoto wa mitaani uwaite watoto wenye kuitaji msaada...au wewe mbona unamuita housegirlwako Dada..
 
Hata mimi nilidhani alipewa point na wanawake wa mana kumbe barmaid, kwa hio hapo atakuwa alisha lewa sana na hajui anacho ongea :biggrin:

Wanawake wa maana ni wepi? Mbona mnazarau kazi za wenzenu! Sio kila baamedi ni malaya! Wengine ni watu na heshima zao. Kwa taarifa tu ni walinzi wa waume wengi sana tu! Niulize ntakwambia!
 
Jana mida ya jioni kama kawaida nilitoka kuelekea hapo contena kwa mangi...... huwa tunahudumiwaga na dada yake mangi ambaye alikuja mjini siku nyingi na toka aje shughuli zake zimekua ni kuhudumia baa mbalimbali na maarufu hapa mjini.
Huyu dada ni rafiki ya wanaume wengi walioko kwenye ndoa maana huwa anajua mambo mengi na anatusaidia kuondoa stresi kwa utani na masihara yake.
Kama kawaida nilipofika tu akaniletea kesto yangu baridi na yeye akavutakiti akakaa pembeni na kuanza kunipaumbea kwa yaliyotokea mtaani kwa wiki nzima.....Ila kuna kipengele kilinishtua sana.
Naomba nimnukuu hicho kipengele.... '' Unajua baba... sisi wanawake ni wadhaifu sana.....nina uakika katika wanawake 100 labda ni mmoja tu ndio atakua hajatoka nje ya ndoa'' mwisho wa kunukuu.
Baada ya kumbishia..akaanza kunipa data za uzoefu wake na wateja mbalimbali na hata wakeza watu wanaogongwa na vijana hapo mtaani....jasho lilinitoka sana... nikamkatiza isijeikawa na wangu yuko kwene list....nilinyanyuka na kumuaga, ila kwa kweli usiku nimelala natafakari aliyoniambia bado simuamini..ila mwenye kujua hili ebu nifungueni akili nini kinaendelea kwa wake zetu jamini.

Sasa wewe ulitaka kula tu bila kuliwa, HIWEZEKANI!
 
na yeye akavutakiti akakaa pembeni na kuanza kunipaumbea kwa yaliyotokea mtaani kwa wiki nzima.....
Naomba nimnukuu hicho kipengele.... '' Unajua baba... sisi wanawake ni wadhaifu sana.....nina uakika katika wanawake 100 labda ni mmoja tu ndio atakua hajatoka nje ya ndoa''

Hap kwenye red kweli umenishangaza, mwanaume na umbea wapi na wapi? Hapo blue hapo alikuwa anaongelea wanawake wa aina yake, I mean wahudumu wa bar na sio wanawake wote
 
Wanawake wa maana ni wepi? Mbona mnazarau kazi za wenzenu! Sio kila baamedi ni malaya! Wengine ni watu na heshima zao. Kwa taarifa tu ni walinzi wa waume wengi sana tu! Niulize ntakwambia!
Uliona wapi barmaid akawa mwanamke wa mana!

Na uliona wapi mlevi akawa mtu wa mana, angekuwa wa mana asinge enda nunua ujinga, hebu nieleze ulevi una faida gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom