Hakuna mtu anaongea neno kwa bahati mbaya

Hakuna mtu anaongea neno kwa bahati mbaya

Siyo kila neno linaonyesha moyo wa mtu. Watu husema kwa hasira, mzaha, msongo au makosa. Kama maneno yangekuwa kipimo kamili cha tabia, basi hakuna ambaye angekuwa mwema kwa sababu kila mtu amewahi kusema jambo baya. Tabia ya mtu hupimwa zaidi na mwenendo wake wa muda mrefu kuliko sentensi moja au mbili.

Hili ndilo Jibu
 
Back
Top Bottom