Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Saving Private Rayn inatambulika zaidi katika zile dakika 15 za mwanzo wa film

Dk hizo zinatajwa kuwa ndio scene bora kabisa ya kivita kuwahi kutengenezwa

Top 5 yangu ni

We were solider
Lone survivor
Saving private Rayn
Hacksaw Ridge
Black Hawn Down
 
Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.
Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo
zipo nyingi tu,kuna nyingine kuna jamaa alisimulia humu nimeisahau jina ni true story, ilikua ni tukio la world war inaanza kama hiyo ya saving prv ryan,wanajeshi wamekaribia tu beach wakaanza kuchapwa risasi
ni kwenye tukio hili alipatikana binadamu aliyeuwa watu wengi zaidi kwa mikono yake mwenyewe,jamaa aliua askari kama buku nadhani,alikuwa na machine gun
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom