Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Nenda kaangalie LONE SURVIVOR, alafu urudi tujadiliane upya baada ya kubadilisha title ya post yako.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app

Hii movie nayo ni based on true story ya Gulf War japo wameibadilisha kuifanya Afghanistan.
Novel yake inaitwa Bravo two zero- imeandikwa na Ex-special force wa British Andy Macnabby
 
Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.

Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo
Itafute sucrifice ni ya 2021
 
How about Tears of the Sun??
Hii movie kali sana
13 hours Secret soldier

Kuna movie niliiona sikuikariri jina; kuna soldiers kama wa3 wanapewa mission wakamuue kiongozi wa waasi Jangwani, baada ya kufika mission ikiendelea mmoja akafa kwa mabomu ambayo yapo pale jangwani yaliangushwa kwenye vita za wenyewe kwa wenyewe yakajifukia na mchanga wa jangwani (ukikanyaga bahati mbaya linalipuka)
sasa huyu starring na mwenzie katika pitapita jangwani mwenzie akakanyaga bomu likalipuka na yy hatua moja mbele akakanyaga bomu , ikabidi asitoe mguu akanya mawasiliano ya rescue unit ambayo ilikuja kufika 24 hours later muda wote huo akiwa kakanyaga palepale usiku kucha anang'!atwa na mbwa mwitu,
baada ya waokozi kuja ikaja kugundulika hakukanyaga bomu ila ameteseka bure tu

hakuna mtu kaiona hii jamani anipe jina.
 
Hii movie nmeiona lakini jina nimesahau.. ni nzuri pia
 
Movie zangu 15 bora za kivita..

We were Soldiers
Saving Private Ryan
Behind Enemy Line
Fury
Enemy at the Gate
Lone Survivor
12 Horse Soldiers
The Patriot
Pearl Habour
Act of Valour
Hambuger Hill
Hacksaw Ridge
Windtakers
Greyhound
Hunter Killer

Zingine nlizozielewa..
Tears of the Sun
Delta Force 1&2
Full Metal Jacket
The Last Samurai
Bands of Brothers
1917
The Last Platoon
War Horse
Troy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom